Apumzike kwa amani
Atapumzikaje kwa amani??
Huyu mbwa hawezi kupumzika kwa amani kamwe . Magufuli alinajisi Ikulu yetu kwa kumwaga damu za wasio na hatia, kunyang'anya fedha za wafanya biashara, kuiba fedha za umma (Tsh 1 5 Trillion as per CAG report) na kuiba uchaguzi wote wa S/Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020.

Ataendelea kuungua na moto wa jehanam milele
 
Na aliyepora uchaguzi wa 2024 ni nani ?.
 
Mwanaume wa shoka ,alikuwa anaongoza kama baba wa familia ..Baba hata kama hauna pesa ,bado unawapa moyo watoto sio kuwavunja moyo ...Huyu jamaa alikuwa mwanaume kweli.
 
Mwanaume wa shoka ,alikuwa anaongoza kama baba wa familia ..Baba hata kama hauna pesa ,bado unawapa moyo watoto sio kuwavunja moyo ...Huyu jamaa alikuwa mwanaume kweli.
Angekuwa mwanaume wa shoka asingekufa kizembe kwa COVID-19
 
Mimi kama kawaida kwa miaka 10 hadi kesho yule dikteta , nilikemea mabaya yake bila kusita na nimekua consistent.

Ok, ichambue hii post miaka 5 mbele sasa katika awamu iliyopita ya Samia , maana kwa sasa Tanzania haina rais bali iko chini ya policcm.

Tuanze kuchambua 1 mpaka 26 kwa kufanya kile kitu kinaitwa COMPARE AND CONSTRAST.

1 mpaka 26 ya Magufuli vs Samia.
 
Inarudi palepale kuwa kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 kama Rais, tusingekuwa hapa tulipofika. Tuko hapa ni kwa sababu ya Magufuli.

Angalia miaka 10 ya BWM na JK hakukuwa na ushenzi huu. Lakini Magufuli akaanza kuvunja katiba na kukandamiza demokrasia, mkamchekea ndipo baada ya kufa na Samia kuja, naye anajaribu kuacha ambalo halimsaidii na kuchukua linalomsaidia
 
Inarudi palepale kuwa kama Magufuli asingetokea mwaka 2015 kama Rais, tusingekuwa hapa tulipofika. Tuko hapa ni kwa sababu ya Magufuli.
Magufuli msaidizi wake alikua Samia je wana tofauti?

Huwezi kusema "kama asingetokea" alitokea na sasa hayupo alifanya maovu yake mengi je msaidizi wake amerekebisha au naye kapita njia ile ile ndio hoja hapa.
Angalia miaka 10 ya BWM na JK hakukuwa na ushenzi huu. Lakini Magufuli akaanza kuvunja katiba na kukandamiza demokrasia, mkamchekea ndipo baada ya kufa na Samia kuja, naye anajaribu kuacha ambalo halimsaidii na kuchukua linalomsaidia
Hapa hatuongelei BWM na JK hii ni mada nyingine kabisa, kama uliandika uzi nitag tukaijadili huko.

Ni Magufuli vs Samia usihamishe mada.
 
Sasa Rais alitengeneza mazingira ya maridhiano na tukaona waliokimbia nchi wakati wa Magufuli wakirudi nchini.

Lakini wakaanza dharau nankuponda kwa kejeli hao hao aliowarudisha kutoka Belgium na Canada. Ndiyo naye kaonyesha kuwa ameshika mpini. Hata mimi ujinga wa Tundu nisingeuvumilia
 
Sasa Rais alitengeneza mazingira ya maridhiano na tukaona waliokimbia nchi wakati wa Magufuli wakirudi nchini.
Maridhiano yapi?

Ya kuua watu na kuwahonga wasimkosoe?
Lakini wakaanza dharau nankuponda kwa kejeli hao hao aliowarudisha kutoka Belgium na Canada. Ndiyo naye kaonyesha kuwa ameshika mpini. Hata mimi ujinga wa Tundu nisingeuvumilia
Kwahiyo hapa umekubali Samia na Magufuli wote playbook yao ni moja?

Kwanini unajifunga goli kirahisi hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…