Hiyo ilikuwa ni kauli ya Hayati Rais Magufuli aliitamka kwenye hadhira mahali fulani alipokutana na wananchi wake.

Kauli hiyo imekuwa maarufu sana kwa siku za hivi karibu.

Je,kauli ile inasadifu kitu gani?
 
Kila binadamu ana mapungufu yake,kila mtu akumbukwe kwa mema na sio kwa mabaya,huo ndio ubinadamu,hakuna binadamu aliyekamilika,

Rest in Peace JP Magufuli.
 
imani ni kitu kingine. reality ni kitu kingine.
hakuna cha shetani wala nn. hayo ni mawazo yako.
usitembelee nyota ya marehemu
 
Kila binadamu ana mapungufu yake,kila mtu akumbukwe kwa mema na sio kwa mabaya,huo ndio ubinadamu,hakuna binadamu aliyekamilika,

Rest in Peace JP Magufuli.
Bibie basi weka hata zuli moja unalomkumbuka na sisi wanaume tujue tuanzie wapi.
 
Kuvihujumu vyama vya upinzani
 
Bibie basi weka hata zuli moja unalomkumbuka na sisi wanaume tujue tuanzie wapi.
Wewe taahira nilisha kutolea nje sina mpango wakuongeza mke wa pili,mbona unakua king'ang'anizi hivyo? Unajilengesha mpaka unatia kinyaa,endelea kuwagawia huko huko kitaani ulikozowea.
 
YouTube link ya kifo cha marehemu Dr john Pombe magufuli imenifanya nikalia machozi

Tumempoteza shujaa wa taifa hili tukubali tukatae magufuli alikua na nafasi yake nitamkumbuka daima

Nimepitia hiyo YouTube link nikapitia comments nimejikuta nalia sana, maoni ya watu yamenifanya nilie sana

Huyu baba kaniuma jamani najua kuna watu hawampendi hawa hawakukubaliana naye ila huyu baba nae ni mtu jamani naye ana moyo kama wewe apo ana hisia kama wewe apo
Kwa haya maoni kuna mtu atapinga kwamba Dr jpm hakua shujaa kwa nafasi yake?


Ukipitia hiyo link soma comments
Nimelia sana, moyo una majeraha pumzika baba tutakumiss[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
 
Shujaa aliyejengea wakwe zake Daraja la Busisi kwa bilioni 700?

Shujaa aliyeshindwa kuajiri wala kupandisha mishahara kwa miaka 6?

Shujaa aliyenyang'anywa demu na Mtela Mwampamba....?

Shujaa aliyesema Tanzania hamna Corona ila ikamfyekelea mbali yeye na katibu mkuu kiongozi wake?
 
Hata Adolf Hitler alipokufa watu walilia kwa hiyo sikushangai.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…