Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama amezingua atasemwa tu! Alitutesa sana huyo mzee katika miaka yake yote aliyo tawala. Alisitisha promotion zeu bila sababu! Alifuta annual incriment kwa utashi wake, hakuwahi kuongeza mshahara katika utawala wake,Mkuu marehem hasemwi vibaya,muache mwendazake aende zake,kila kitu mungu anapanga,kitabu chake kishafungwa,tujifunze tuh kwa kila akichokifanya
Kama amezingua atasemwa tu! Alitutesa sana huyo mzee katika miaka yake yote aliyo tawala. Alisitisha promotion zeu bila sababu! Alifuta annual incriment kwa utashi wake, hakuwahi kuongeza mshahara katika utawala wake,
na badala yake akashirikiana na bunge lake la ccm mwaka 2016 na kuongeza makato ya Bodi kutoka 8% ya basic salary mpaka15%! Bado kuzungushwa kila siku kwenda halmashauri kuhakikiwa kwa gharama zetu!
Hakuna mtumishi wa umma aliyeguswa na huu uonevu wake, anaweza kumsifia kwa lolote. Apumzike tu kwa amani huko aliko. Eti hatapandisha mishahara mpaka kwanza amalize kununua ndege! Ndege zenyewe zinazalisha hasara tu!!
Tuache hofu!Nimekuelewa,umeongea ukweli ndugu yangu.
Na historia huwa haiongopi!Ahadi ni deni, mzee baba kaenda na deni lake mpaka siku ya kiama.
Ndo mana na yeye kazunguushwa na jua lote hiliKama amezingua atasemwa tu! Alitutesa sana huyo mzee katika miaka yake yote aliyo tawala. Alisitisha promotion zeu bila sababu! Alifuta annual incriment kwa utashi wake, hakuwahi kuongeza mshahara katika utawala wake,
na badala yake akashirikiana na bunge lake la ccm mwaka 2016 na kuongeza makato ya Bodi kutoka 8% ya basic salary mpaka15%! Bado kuzungushwa kila siku kwenda halmashauri kuhakikiwa kwa gharama zetu!
Hakuna mtumishi wa umma aliyeguswa na huu uonevu wake, anaweza kumsifia kwa lolote. Apumzike tu kwa amani huko aliko. Eti hatapandisha mishahara mpaka kwanza amalize kununua ndege! Ndege zenyewe zinazalisha hasara tu!!
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Bado yule mungu mtu pale bungeni alieharibu taswira ya bunge kabisa mpk kuwa bange.Nimekuelewa,umeongea ukweli ndugu yangu.
Hayati Mzee Magufuli alipata kusema maneno mawili ili Watanzania tufikishiwe watanzania wote.
1. Watanzania tuliombee Taifa letu
2. Viongozi wa Dini wajue Mungu ndiyo muweza
wa yote, wasitetereshwe juu ya imani zao,
wasimame kidete.
#Mathayo 26: 30#
Yesu akawaambia wafuasi wake, “Usiku wa leo ninyi nyote mtapoteza imani yangu kwangu. Maandiko yanasema, ‘Nitamwua mchungaji, na kondoo watatawanyika.’
Watanzania tuliombee taifa letu , Shetani anaelekea kutushinda.