Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Mkuu marehem hasemwi vibaya,muache mwendazake aende zake,kila kitu mungu anapanga,kitabu chake kishafungwa,tujifunze tuh kwa kila akichokifanya
 
Kama amezingua atasemwa tu! Alitutesa sana huyo mzee katika miaka yake yote aliyo tawala. Alisitisha promotion zeu bila sababu! Alifuta annual incriment kwa utashi wake, hakuwahi kuongeza mshahara katika utawala wake,

na badala yake akashirikiana na bunge lake la ccm mwaka 2016 na kuongeza makato ya Bodi kutoka 8% ya basic salary mpaka15%! Bado kuzungushwa kila siku kwenda halmashauri kuhakikiwa kwa gharama zetu!

Hakuna mtumishi wa umma aliyeguswa na huu uonevu wake, anaweza kumsifia kwa lolote. Apumzike tu kwa amani huko aliko. Eti hatapandisha mishahara mpaka kwanza amalize kununua ndege! Ndege zenyewe zinazalisha hasara tu!!
 
Nimekuelewa,umeongea ukweli ndugu yangu.
 
Kwenye kutoongeza mishahara na sheria mpya ya makato ya HESLB mzee Baba alizingua sana
 
Fungeni hichi kitabu wakuu,...tufungue ukurasa mpya.
 
Kama amezingua atasemwa tu! Alitutesa sana huyo mzee katika miaka yake yote aliyo tawala. Alisitisha promotion zeu bila sababu! Alifuta annual incriment kwa utashi wake, hakuwahi kuongeza mshahara katika utawala wake,

na badala yake akashirikiana na bunge lake la ccm mwaka 2016 na kuongeza makato ya Bodi kutoka 8% ya basic salary mpaka15%! Bado kuzungushwa kila siku kwenda halmashauri kuhakikiwa kwa gharama zetu!

Hakuna mtumishi wa umma aliyeguswa na huu uonevu wake, anaweza kumsifia kwa lolote. Apumzike tu kwa amani huko aliko. Eti hatapandisha mishahara mpaka kwanza amalize kununua ndege! Ndege zenyewe zinazalisha hasara tu!!
Ndo mana na yeye kazunguushwa na jua lote hili

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Ni kweli makato ya HELSB yanaumiza vijana sana ukizingatia udogo wa vipato vyao. Serikali ipitie upya jambo hilo.
 
1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato

Hili alienda nalo kwa kasi sana.... Vitabaki Magofu
 
Leo nikiwa nakatiza mitaa ya kisutu na hatimae Sasa mitaa ya Magomeni.

Nimejikuta naendelea kuelewa mkuu na Mazuri ya hayati JPM.

Wazee Hawa wa mitaa hii wamenitajia mambo mengi na makubwa.

Ukiachana na miundo mbinu, leo wamenifungua akili.

Jambo lenyewe ni UTULIVU tulio nao.

Mnyonge mnongeni lakini JPM katuachia utulivu wa Hari ya Juu.

Naamini Samia atayaendeleza yote haya Mazuri.
 
Yaani mnamuimbia mapambio mtukufu wenu mpaka wakati huu akiwa yupo kaburini! Kweli Mataga ni habari nyingine aisee!
 
Nitamkumbuka kwa kuyaishi maono ya Baba wa Taifa Hayati Mw.Nyerere juu ya mapungufu yaliyomo kwenye katiba ya nchi yetu kuhusu madaraka ya Rais.
 
Hayati Mzee Magufuli alipata kusema maneno mawili ili Watanzania tufikishiwe watanzania wote.

1. Watanzania tuliombee Taifa letu

2. Viongozi wa Dini wajue Mungu ndiyo muweza
wa yote, wasitetereshwe juu ya imani zao,
wasimame kidete.

#Mathayo 26: 30#
Yesu akawaambia wafuasi wake, “Usiku wa leo ninyi nyote mtapoteza imani yangu kwangu. Maandiko yanasema, ‘Nitamwua mchungaji, na kondoo watatawanyika.’

Watanzania tuliombee taifa letu , Shetani anaelekea kutushinda.
 
Acha mwendazake aende utawala wa maguvu na misifa haupo tena mtateseka sana

Back
Top Bottom