Napoleone
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 10,087
- 16,036
Sitak kuongea sana...
Alijipambanua kwa kazi zake
Kuondoka kwake ni pigo na ni pengo ambalo halitozibika miaka 40 ijayo
Amiin amiin nawambia...
Rules of the game have changed...
Kama wew ni mfanyabiashara..jipange kupigana na kujilimbikizia,...kama uko wap sjui do the same..
Sabab.kuna uwezekano upigaj ukarud na ukaja laumu ooh.nin .kile
Game limebadilika ukizubaa imekula kwako .yaan wenzio wapige wew ukae tu
Mwamba ameenda..hakutakiwa kwenda muda huu....ni pigo pigo pigo kwa taifa
Sjui uzi utafutwa ila usipofutwa..inshalah
Ngoja niangalie Ukabidhiwaji wa report ya CAG....nitapata tathmini mbelen huko dira inasomaje.