Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Sitak kuongea sana...

Alijipambanua kwa kazi zake

Kuondoka kwake ni pigo na ni pengo ambalo halitozibika miaka 40 ijayo

Amiin amiin nawambia...

Rules of the game have changed...

Kama wew ni mfanyabiashara..jipange kupigana na kujilimbikizia,...kama uko wap sjui do the same..

Sabab.kuna uwezekano upigaj ukarud na ukaja laumu ooh.nin .kile

Game limebadilika ukizubaa imekula kwako .yaan wenzio wapige wew ukae tu

Mwamba ameenda..hakutakiwa kwenda muda huu....ni pigo pigo pigo kwa taifa

Sjui uzi utafutwa ila usipofutwa..inshalah

Ngoja niangalie Ukabidhiwaji wa report ya CAG....nitapata tathmini mbelen huko dira inasomaje.
 
Naomba kukuliza mkuu hivi unadhani bwana yule hakuwa mpigaji kwa namna flani au kwakuwa tulifumbwa[emoji40]
Yule alipiga wakubwa na kushuka chini kubembeleza wanyonge....

Sasa mwandishi anaamisha wala makombo watazidi kula makombo na Wala vinono watazidi kula vinono kwa muda wa miaka 40.
 
Mwendazake alikua mwizi sana kupitia ununuzi wa ndege na haya mamiradi makubwa, CAG akipita humo kwa umakini atakuta makosa mengi sana na ela nyingi ambazo hazijatumika ipasavyo.
 
Zile kelele zetu za nchi dhaifu,nchi ipo kwenye auto-pilot zitaanza kurudi.

Zile zama za "unanijua mimi ni nani....' zitaanza kurudi.

Zile zama za " laki si pesa million hela ya soda zitarudi...."

Ngojea tuache muda uongee wenyewe.
 
Sitak kuongea sana...

Alijipambanua kwa kazi zake

Kuondoka kwake ni pigo na ni pengo ambalo halitozibika miaka 40 ijayo

Amiin amiin nawambia...

Rules of the game have changed...

Kama wew ni mfanyabiashara..jipange kupigana na kujilimbikizia,...kama uko wap sjui do the same..

Sabab.kuna uwezekano upigaj ukarud na ukaja laumu ooh.nin .kile

Game limebadilika ukizubaa imekula kwako .yaan wenzio wapige wew ukae tu

Mwamba ameenda..hakutakiwa kwenda muda huu....ni pigo pigo pigo kwa taifa

Sjui uzi utafutwa ila usipofutwa..inshalah

Ngoja niangalie Ukabidhiwaji wa report ya CAG....nitapata tathmini mbelen huko dira inasomaje.
Umeshaona MADUDU ya utawala wa MEKO?
 
HOFU KUU INAKUJA KWA SABABU:
CHAMA KIMEKUWEPO NA KUUNDA SERIKALI TANGU UHURU
LAKINI MABADIRIKO MAKUBWA YAMEJITOKEZA MIAKA MITANO TU ILIYOPITA.

KWAMBA ALIYELETA MABADIRIKO, AMEONDOKA ZAKE. KUNA UWEZEKANO MKUBWA WA KURUDI KUTULIKO TOKA.
HIVYO KESHO YETU IKO MASHAKANI SANA
 
Wapigaji on duty

Back
Top Bottom