Wewe unaona kupata hasara ndiyo ujanja?Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70....
Acha UONGO na mmezoea sana kuongopa,sasa wewe kupata hasara ni sifa nzuri kwako?kinachoongelewa hapa sio hasara ya kibiashara but ni wizi mkubwa wa Mali yangu,wewe ndio utamkumbuka maana ulinufaika naye ..middle class unayejifanya umepatia maishaShirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70...
Ni vyema ukawa specific kwamba Ndugai anawahamasisha wabunge wa CCM kusitisha ununuaji wa ndege. Ukisema 'wanataka' unakuwa ni kama unajaribu kuwaficha wahusikaShirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.
Hajielewi huyo mtoa mada....Kupata hasara sio jambo la kujisifia. Kupata hasara sio mashindano.
Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?
Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.
Mkuu we una akiri kweli. Yaani unafanya biashara ya hasara na we bado unaendelea tu! Mashirika ya ndege kwa nchi zenye akili yanaendeshwa thru pppShirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70..
Wewe unataka hasara ifike shilingi ngapi? unajua share za serikali ya Kenya kwenye KQ ni chini ya 50%.....huo mzigo wa hasara unataka nani abebe...Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.
Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.
Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.
Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.
Wawekezaji wanatakiwa Nchi yeyote hata China na USA zenye wawekezaji wa kutosha ila bado wanaweka mazingira mazuri kwa wawekezaji wapya nchi bila wawekezaji wawe wa nje au ndani haiwezi kuendelea..Inasikitisha sana kwakweli.Magufuli alikuwa na msimamo na nia thabit ya kuinua uchumi wa nchi.Ila kwa sasa naona kama tumepoteza mwelekeo.Rais anasimama anasema waziwazi tunahitaji wawekezaji kuliko wanavyotuhitaji! Anaruhusu wawekezaji waje na watu wao bila kujali ajira za wazawa.Hana msimamo mambo ambayo alitakiwa azungumzie ofisini anaweka hadharani au alijua JPM alikuwa mjinga kutokusema hadharani baadhi ya mambo? Huko ni kutengeneza panic na porojo ambazo zitamuondolea focus ya maendeleo na hazitamuongezea chochote!
Wakati shirika la ATCL limesimama nauli ya toka kigoma kwenda dar ilikuwa laki saba. Magufuli amefufua ATCL nauli ilishuka hadi laki tati ambayo ni nusu ya nauli ya precision. Sometimes mashirika yanaweza kupata hasara lakini kukawa na faida kijamii na kukuza uchumi kupitia utalii. Mimi naona sio lazima kila kitu kipate faida ndio kiendelee. Wanyonyaji watapenda ATCL ice ili precision na fast jet warundi. Hii ni dhambi kubwa itawatafuna uongozi wa awamu ya sita wakiruhusu. Nyerere na Magufuli hawawezi kids miongoni mwa watanzania kwa sababu walikuwa na kujali mahitaji yetu. Mama Samia akipenda cheap popularity akapunguza kodi, akaruhusu wawekezaji uchwara na ajira za wageni bila udhibiti atakuwa na kazi ngumu bungeni. Maana wachimbaji wadogo wa masomo wanna faida kwa uchumi wa nchi kuliko wawekezaji wajubwa wanaotodosha dhahabu yetu kwa HARAKA na kutupa kazi za vibarua na kutuachia mashimo. Juzi aliposema kodi ikipungua MAKUSANYO kisogo sio hasara ilikuwa ni tamko la ovyo. Atahitajika awe dictator mkubwa kuturudisha kwenye dhahabu zetu awake kirahisi tubaki na mashimo. Lakini naamini yule mama ni democrat atasikiliza maoni ya wabunge.Mkuu we una akiri kweli. Yaani unafanya biashara ya hasara na we bado unaendelea tu! Mashirika ya ndege kwa nchi zenye akili yanaendeshwa thru ppp
Wakati shirika la ATCL limesimama nauli ya toka kigoma kwenda dar ilikuwa laki saba. Magufuli amefufua ATCL nauli ilishuka hadi laki tati ambayo ni nusu ya nauli ya precision. Sometimes mashirika yanaweza kupata hasara lakini kukawa na faida kijamii na kukuza uchumi kupitia utalii. Mimi naona sio lazima kila kitu kipate faida ndio kiendelee. Wanyonyaji watapenda ATCL ice ili precision na fast jet warudi. Hii ni dhambi kubwa itawatafuna uongozi wa awamu ya sita wakiruhusu. Nyerere na Magufuli hawawezi kusahaulika miongoni mwa watanzania kwa sababu walikuwa na kujali mahitaji yetu. Mama Samia akipenda cheap popularity akapunguza kodi, akaruhusu wawekezaji uchwara na ajira za wageni bila udhibiti atakuwa na kazi ngumu bungeni. Maana wachimbaji wadogo wa madini wana faida kwa uchumi wa nchi kuliko wawekezaji wakubwa wanaotorosha dhahabu yetu kwa HARAKA na kutupa kazi za vibarua na kutuachia mashimo. Juzi aliposema kodi ikipungua MAKUSANYO kidogo sio hasara ilikuwa ni tamko la ovyo. Atahitajika awe dictator mkubwa kuturudisha kwenye dhahabu zetu awape kirahisi tubaki na mashimo. Lakini naamini yule mama ni democrat atasikiliza maoni ya wabunge.
CAG halifahamu hilo la kushuka kwa nauli?Wakati shirika la ATCL limesimama nauli ya toka kigoma kwenda dar ilikuwa laki saba. Magufuli amefufua ATCL nauli ilishuka hadi laki tati ambayo ni nusu ya nauli ya precision. Sometimes mashirika yanaweza kupata hasara lakini kukawa na faida kijamii na kukuza uchumi kupitia utalii. Mimi naona sio lazima kila kitu kipate faida ndio kiendelee. Wanyonyaji watapenda ATCL ice ili precision na fast jet warundi. Hii ni dhambi kubwa itawatafuna uongozi wa awamu ya sita wakiruhusu. Nyerere na Magufuli hawawezi kids miongoni mwa watanzania kwa sababu walikuwa na kujali mahitaji yetu. Mama Samia akipenda cheap popularity akapunguza kodi, akaruhusu wawekezaji uchwara na ajira za wageni bila udhibiti atakuwa na kazi ngumu bungeni. Maana wachimbaji wadogo wa masomo wanna faida kwa uchumi wa nchi kuliko wawekezaji wajubwa wanaotodosha dhahabu yetu kwa HARAKA na kutupa kazi za vibarua na kutuachia mashimo. Juzi aliposema kodi ikipungua MAKUSANYO kisogo sio hasara ilikuwa ni tamko la ovyo. Atahitajika awe dictator mkubwa kuturudisha kwenye dhahabu zetu awake kirahisi tubaki na mashimo. Lakini naamini yule mama ni democrat atasikiliza maoni ya wabunge.
Kwa mauaji, wizi etc etcShirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70.
Shirika changa la ndege la Tanzania limepata hasara ya Bil. 60 wanataka wasitishe ununuaji wa ndege.
Magufuli amekufa na ndoto yake ya kuifanya Tanzania taifa kubwa Afrika lenye uchumi mkubwa.
Hakika tutamkumbuka huyu kiongozi.