Wakati shirika la ATCL limesimama nauli ya toka kigoma kwenda dar ilikuwa laki saba. Magufuli amefufua ATCL nauli ilishuka hadi laki tati ambayo ni nusu ya nauli ya precision. Sometimes mashirika yanaweza kupata hasara lakini kukawa na faida kijamii na kukuza uchumi kupitia utalii. Mimi naona sio lazima kila kitu kipate faida ndio kiendelee. Wanyonyaji watapenda ATCL ice ili precision na fast jet warundi. Hii ni dhambi kubwa itawatafuna uongozi wa awamu ya sita wakiruhusu. Nyerere na Magufuli hawawezi kids miongoni mwa watanzania kwa sababu walikuwa na kujali mahitaji yetu. Mama Samia akipenda cheap popularity akapunguza kodi, akaruhusu wawekezaji uchwara na ajira za wageni bila udhibiti atakuwa na kazi ngumu bungeni. Maana wachimbaji wadogo wa masomo wanna faida kwa uchumi wa nchi kuliko wawekezaji wajubwa wanaotodosha dhahabu yetu kwa HARAKA na kutupa kazi za vibarua na kutuachia mashimo. Juzi aliposema kodi ikipungua MAKUSANYO kisogo sio hasara ilikuwa ni tamko la ovyo. Atahitajika awe dictator mkubwa kuturudisha kwenye dhahabu zetu awake kirahisi tubaki na mashimo. Lakini naamini yule mama ni democrat atasikiliza maoni ya wabunge.