Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Wewe unaona kupata hasara ndiyo ujanja?Shirika la ndege la Kenya limepata hasara zaidi ya Bilioni 800 ila bado linaendelea na shughuli zake kama kawaida.
Ni shirika kongwe ambalo limekuwepo toka miaka ya 70....
Unaelewa Marekani ndiyo nchi iliyoanzisha usafiri wa ndege, na leo hii haina shirika la ndege la taifa.
Unafikiri hao Wamarekani ni wajinga?