Alipo waondoa watu wazuri wa kumshauri akawaingiza washirikina na wachawi kumshauri ulikuwa unategemea nini,Nakuonea haya ujue basi tu.
 
Kupata hasara sio jambo la kujisifia. Kupata hasara sio mashindano.

Kama mke wa jirani yako kaliwa juzi naww mkeo akiliwa leo na mchepuko utaleta uzi wa kumsifia hapa?

Acheni mambo ya kijinga, umaskini sio sifa.
Wewe mbayaaaa!! (In Joti’s voice!)
 
Acha ujinga ww. Si upost jambo la maana la kukusaidia kimaisha. Mpuuzi ww
 
Si mnadai mmejenga viwanda kajaajiriwe huko,.
Acha mtu amlete anayemtaka,kwanza nyie niwezi mkiwekwa pale si utaiba alivoiba kigwangala!
 
Tatizo la nchi hii kila mtu ni strategist. Upuuzi mtupu. Wanakosoa hata jambo la msingi. Ndege ni muhimu kwa. Uchumi wa Taifa.
Magufuli mipango yote yake ililenga kwenye uchumi imara. Isipozingatiwa tutaendelea kuwa ombaomba na miaka yote.
Kuna mambo mengi hata kama hayana faida huwa ni wezeshi kwa ajili ya shughuli zenye faida. Mfano tuchukulie ndege hata kama zisipokuwa na faida zinaweza kuleta watali wengi lakini pia kurahisiha biashara. Levies zitokanazo na utalii pamoja kodi za biashara zinaweza kufidia hasara ya ndege.
Hali kadhalila hata reli inaweza isiwe na faida lakini fahamu reli hii inaweza sababisha kushawishi Rwanda, Burundi na Uganda kupitishia mizigo yao yote Dar. Na nchi ikavuna pesa nyingi sana.
Vijana wa leo kazi kupokea upotoshaji tu na kuanza kushangilia.
 
Kanye huko
 
Ni ngumu sana kuuwa legacy ya Magufuli na uzuri jamaa alikuwa anasema hadharani watanzania wanajua.


Ndiyo maana mpinga legacy ya Magufuli hatajibiwa na Magufuli wala watoto wa Magufuli mbali atajibiwa na watanzania.


Kama Ndugai anasema Magufuli alishauriwa vibaya itabidi atueleze huo mkataba unasemaje tofauti na aliyosema Magufuli.

Watakaohoji haya ni watanzania.


Ni kama waliojaribu kuuwa legacy ya Nyerere huwa wanatapa upinzani mkali hadi leo wakati Nyerere alishafariki zaidi ya miaka 20 iliyopita.
Watu huwa wanarejea hotuba tu.

Maneno huiishi
 
Wezi wote nyie
 
Kukumbuka lazima akumbukwe anayohistori katika nchi hii iwe mema au mabaya,je mtoa mada utakumbukwa kwa lipi?Jibu unalo mwenyewe hata mimi langu ninalo.
 
M

Mimi ni mtanzania na sitohoji
 
Acha upumbavu na mahaba ya kijinga kwa huyo magufuli , swala la hasara magufuli alikuwa analijua lakini hakutaka lisemwe kwa sababu ya aibu ya ubisho wake maana alikuwa mbishi kweli kweli haambiliki , lakini hasara alikuwa anaiona vuzuri tu wala usidhani alikuwa halijui hili , kitendo cha kufunga watu midomo haya ndiyo matokeo yake maana asinge funga watu midogo haya wala yasinge kuwa mapya ka ilivyo kuwa enzi za kikwete

Mambo mengi sana maovu yamefanyika chini ya magufuli lakini wtu walifungwa midomo sasa mwache ale matunda ya kazi yake
 
Wewe unaona kupata hasara ndiyo ujanja?

Unaelewa Marekani ndiyo nchi iliyoanzisha usafiri wa ndege, na leo hii haina shirika la ndege la taifa.

Unafikiri hao Wamarekani ni wajinga?

Kipindi Cha jk precision air ilikuwa 320,000 tu kwenda kgm acha kudanganya watu. Halafu mashirika ya ndege yakiwa mengi inalet ushindani hence efficiency. Serikali iliendesha shirika la ndege ni hasara tua. Bora atcl ife tu
 
Ajira za wazawa mwendazake aliwaajiri wangapi wanyonge?
 
Hiyo huduma fast jest, precision na wengine wameshindwa kuitoa wewe Kilaza??
Pesa zenu za kodi zinaharibwa halafu wewe muuza utumbo wa mbuzi huko Buza unashangilia. Una akili wewe?
 
Na aliomba tumkumbuke kwa yale MAZURI.
Hata hivyo ni kawaida ya binadamu kumumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…