Alijitahidi kwenye suala la umeme,mgawo haukuwa kivile kama utawala uliyomtangulia!Mgao mbona upo tu ni vile Tanesco walupigwa marufuku kutangaza.Nenda kwenye special uzi wa Tanesco uone malalamiko bado yako palepale tu
Sawa lakini haukuisha.Mi.ungesema maji sawa kajitahidi sana.Ingawa sii watanzania wote wenye maji safi.na salamaAlijitahidi kwenye suala la umeme,mgawo haukuwa kivile kama utawala uliyomtangulia!
Ova
Alijitahidi kwenye suala la umeme,mgawo haukuwa kivile kama utawala uliyomtangulia!
Ova
Ha ha ha ha pole bro, maisha ndivyo yalivyo huna namna inabidi tu ukubali kwamba jamaa hayupo tena.Wewe ulikuwa huna kitu kabla na baada ya Magufuli.
Madawa ya kulevya kupotea, semina zisizo na akili, safari zisizo na tija, mishahara kwa wakati, nidhamu kazini, heshima kwa wote, majambazi kupungua, hadithi za kuteka magari kuisha, wanawake kulala chini, vifaa tiba kuwepo mpaka vile ambavyo hatujui kuvitumia etcUkweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Lisu, una maana ya yule mnanilii, shoga yake na rob arms?Hakika kila mtu aliguswa nae! Kuanzia mataga mpaka Lissu
Watanzania wapi?Hakika hakuna Rais aliyegusa maisha ya Watanzania wengi kama Magufuli.
Hata usipoedit tumeshaelewa unataka kutuambia nini, na tumeshajua uwezo wakoNikiamka nitaedit uzi wangu, kichwa haijakaa sawa
Hakika hakuna Rais aliyegusa maisha ya Watanzania wengi kama Magufuli.
wanasiasa wote waendelee kucheza na akili za wanyonge lakini waelewe vizuri kuwa hakuna nguvu ya kuutenganisha utu na upendo wa Magufuli na wananchi wanyonge wa Tanzania.
Nini maana ya wanyongewanasiasa wote waendelee kucheza na akili za wanyonge lakini waelewe vizuri kuwa hakuna nguvu ya kuutenganisha utu na upendo wa Magufuli na wananchi wanyonge wa Tanzania.
Kengeza limepata chanjo?Mlizoea ripot ya kueditiwa na mfilisi wa wanyonge