Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je wewe ni mnyonge?Magufuli: Rais pekee aliyewashinda mabeberu.
Aliwagusa kwa lipi? Kwa kuteka watu na kuwatupa kwenye bahari na Viroba? Au kwa kuanzisha kundi la wasiojulikanaHakika hakuna Rais aliyegusa maisha ya Watanzania wengi kama Magufuli.
Shida umewaazima akili yako wapinzani. Laiti ungeitumia hata kidogo tu, usingeandika huu utumbo.Aliwagusa kwa lipi? Kwa kuteka watu na kuwatupa kwenye bahari na Viroba? Au kwa kuanzisha kundi la wasiojulikana
Ni kweli kwa sababu wale mazezeta wasio jitambua wanaendelea kuamini kuwa Magufuli aliwajali sasa endelea kuamini hivyowanasiasa wote waendelee kucheza na akili za wanyonge lakini waelewe vizuri kuwa hakuna nguvu ya kuutenganisha utu na upendo wa Magufuli na wananchi wanyonge wa Tanzania.
sitaacha kuamini hivyoNi kweli kwa sababu wale mazezeta wasio jitambua wanaendelea kuamini kuwa Magufuli aliwajali sasa endelea kuamini hivyo
Mkuu funguka aliwashindaje mabeberu au alishindwa yeye? Kila kitu alikuwa anatumia Cha beberu. Bunduki, magari hata chupi ilikuwa ya beberu na wewe hapo umeshika simu ya beberu.Magufuli: Rais pekee aliyewashinda mabeberu.
CookedRipoti ya CAG tu imeacha mpasuko🤣
Afu unakuja kusema nini vile
Mkuu wewe unaandika uharo halafu hujijuiShida umewaazima akili yako wapinzani. Laiti ungeitumia hata kidogo tu, usingeandika huu utumbo.
Mlizoea ripot ya kueditiwa na mfilisi wa wanyongeCooked
So what🤷🤷Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Acha propaganda za kipuuzi....!!!Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Watu wanahangaika sana kuposti. Kusifu au kukashifu, mzee alikuwa na mazuri na mapungufu pia..ndivyo binadamu tulivyo...tukubali kulikuwa na mazuri na mabaya. Tatizo lipo kwenye mizani imeegemea upande upi......