Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Aliweka program gani ya kuwezesha Wanyonge? . Au wanyonge ndio hao wanaotua uwanja wa Chato uliojengwa kwa bilioni 29 za Watanzania wanyonge?
 
Aliwagusa kwa lipi? Kwa kuteka watu na kuwatupa kwenye bahari na Viroba? Au kwa kuanzisha kundi la wasiojulikana
Shida umewaazima akili yako wapinzani. Laiti ungeitumia hata kidogo tu, usingeandika huu utumbo.
 
Kawaaminisha kua nyie ni wanyonge, mkanyong'onyea na mkawa wanyonge kweli, ikawa ndio mzee na mapambio kibao mngefanyaje sasa na nyie ni wanyonge hamuwezi kitu.

Sasa kaondoka bado kawaacha na janga la kujiona bado ni wanyonge msioweza kitu bila yeye, daaah sijui itakuaje kwa wanyonge nyie, poleni sana mkuu.
 
wanasiasa wote waendelee kucheza na akili za wanyonge lakini waelewe vizuri kuwa hakuna nguvu ya kuutenganisha utu na upendo wa Magufuli na wananchi wanyonge wa Tanzania.
Ni kweli kwa sababu wale mazezeta wasio jitambua wanaendelea kuamini kuwa Magufuli aliwajali sasa endelea kuamini hivyo
 
Magufuli: Rais pekee aliyewashinda mabeberu.
Mkuu funguka aliwashindaje mabeberu au alishindwa yeye? Kila kitu alikuwa anatumia Cha beberu. Bunduki, magari hata chupi ilikuwa ya beberu na wewe hapo umeshika simu ya beberu.

Au nadanganya jamani.
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
So what🤷🤷
 
Acha uongo! Mbona mgao ulikuwepo miaka mingi tu kabla hajafa? 😳
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
 
Mgao mbona upo tu ni vile Tanesco walupigwa marufuku kutangaza.Nenda kwenye special uzi wa Tanesco uone malalamiko bado yako palepale tu
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
 
Ukweli mchungu, nilikuwa mkosoaji mkubwa wa baadhi ya sera za Magufuli lakini kuna mengi aliyafanya. Nami kama binadamu siwezi kusema mabaya yake kwa sasa bali mema aliyotutendea. Miaka ya 2015 kurudi nyuma ulikuwa unaingia hapo k/koo ni kelele za majenereta tu kisa mgao wa umeme. Lakini kwa miaka 6 tu ya utawala wake yote tulisahau. Watanzania tutapigwa pigo kubwa sana kama tusipoona mazuri haya.
Acha propaganda za kipuuzi....!!!
Kwani mradi wa Stiegler's Gorge umeshakamilika??
Tatizo la umeme liko palepale na kama unataka uhakika mtafute Kalemani Waziri wa Nishati!!
 
Unapofikia kuuwa Watanzania kisa wamekukosoa tu, kudhulumu trillions za Wakulima.Wafanyabishara, na Wafanyakazi, kupora hazina more than 3 trillions hazina kisha kugomea uchunguzi, kufanya mambo ambayo si vipaumbele vya Taifa, chato airport, kununua ndege, kuchukua pesa bila idhini ya Bunge. Kubambikia watu kesi na kuwafunga, kuminya uhuru na haki ya raia na vyombo vyombo vya habari, kusema uongo kuhusu mambo mengi muhimu kwa Taifa na kugomea baadhi ya Taasisi za Serikali zisikaguliwe ili kuficha UOZO wa kutisha basi hapo hakuna mazuri.
Watu wanahangaika sana kuposti. Kusifu au kukashifu, mzee alikuwa na mazuri na mapungufu pia..ndivyo binadamu tulivyo...tukubali kulikuwa na mazuri na mabaya. Tatizo lipo kwenye mizani imeegemea upande upi......
 
Back
Top Bottom