upo sawa hii.nchi ilikuwa inaenda kuchafuka kama rwanda nchi ikipata rais mjinga ni rahisi sana kuingia kwenye machafuko
 
Mwanaume kaondoka mabinti wanapigana na kivuli kwa nguvu zote[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna uwezekano wewe ni yatima hujui hata kizazi chako ndio maana inabidi ushobokee ukoo wa watu wengine ili ujifariji.
Tuwe makini jamani.

Mtu Mtanzania mwanamme anayesema anaweza kubadili jina la ukoo wake ili apate urahisi wa maisha anaweza kuolewa tu na hao kina Magufuli akafanywa mke wao na kubadilishwa jina kirahisi tu kama mke wao. Kama wataridhia.

Haya maneno mengine mwanamme kusema ni uhanithi tu.

Tumezoea mwanamke anayeshoboka na hashuo za mahaba ndiye mtu anayeweza kusema anataka kubadili jina la ukoo kwa kuolewa na mwanamme.

Sasa kuna wanaume wanataka kujibadili nao wawe wanawake?
 
mzee mimi niko timamu. Baki kwenye mada ya Magufuli. Nikisema hafai namlinganisha na vigezo vya kufaa sio Lowasa kwa sababu Lowasa sio kigezo. Huna cha kunidanganya kuhusu jiwe,ninaona vingi acha na hizi propaganda za majukwaani
 

Achana nalo hilo limeishateketea motoni
 
Kimeumana huu uzi upandishwe kila mwenye nyongo atapike ili wanaodhani Magufuli alikuwa mtakatifu asisemwe wajitafakari
 
Hizi propaganda za ukabila anazipigia debe Mbowe ambae chama chake ni cha kichaga.

Hakuna ushahidi wa ukabila wa Magufuli, hakuna. Wachaga wa Mbowe wameshadadia ukabila kuficha ukabila wa Chadema.

Viongozi wote wa Chadema kuanzia mwenyekiti, katibu mkuu, wakurugenzi wa makao makuu wote kabila moja, ni wachaga.

Ukiuliza ukabila wa Magufuli uko wapi huupati, mmekomaa tu mkabila, mkabila.

Chadema tafuteni kazi nyingine, uongozi nchi hii hamuupati tena.

Kanda ya Ziwa sasa ndio tunaamua rais wa nchi hii. Na tutaendelea kuamua urais wa nchi hii hadi mwisho wa Dunia.
 
mzee mimi niko timamu. Baki kwenye mada ya Magufuli. Nikisema hafai namlinganisha na vigezo vya kufaa sio Lowasa kwa sababu Lowasa sio kigezo. Huna cha kunidanganya kuhusu jiwe,ninaona vingi acha na hizi propaganda za majukwaani
Huko timamu ila msimamo wako humu JF unafahamika,we endelea kuwa msahaulifu upelekeshwe ndio chaguo lako sikukatazi ni haki yako kidemokrsia.

Ila mimi na muogopa mtu mwenye ndimi mbili,Magu kwangu mtu mtu mwenye misimamo ,mtekelezaji ,mfuatiliaji na mchapakaji,tokea akiwa waziri mpaka Rais.

Manake yule aliyepita walilalamika "....Rais dhaifu........anendesha nchi kwa auto-pilot......Vasco Dagama.......",ila Magu kwangu ni bora kwa mtizamo wangu.
 
 
Punguza hasira mkuu. Hao jamaa wenye veti feki na mafisaidi walinyooshwa sana
Kanikera sana, hivi wanamjua dikteta hawa mashoga?
Mpk yupo anaandika hapa dikteta kamuacha tu, fala sana.
Magu ana makosa yake lakini hata siku moja kumuita dikteta binadamu hatuna shukrani.
 
Kimsboy wewe Una matatizo ya udini ndio yanayokusumbua
 
Prof Assad amesema alikuwa hajui analoliitaji na yaani kana kwamba alikuwa haelewi anataka nn?
 
Mtahangaika sana na Magufuli lakini mama kasema anaendeleza ya Magufuli.

Kampeni za ukabila wachaga mmezishikia bango sana mnasahau chama chenu ni cha kikabila na hakitakaa kuja kupata uongozi nchi hii.

Na kwa taarifa yenu kanda ya ziwa ndio tuta determine urais wa nchi hii siku zote.

Wachaga mmekomaa Magufuli alikua mkabila lakini hamleti ushahisi wa ukabila wake.

Kimei alipewa CRDB kila mtu anajua nini kinaendelea crdb, 80% ya watumishi ni wachaga.

Kuna kipindi wachaga walikua bank kuu na TRA, walitaka kujibinafsishia hizo taasisi.

Ukabila inajulikana nchi hii ni kabila gani wana ukabila. Sasa kuficha ukabila wenu mmeamua kumshambulia Magufuli na hoja ya ukabila kujaribu kuficha aibu ya ukabila wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…