BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Mama ukweli wa madudu ya dikteta na dhalimu anaujua fika vinginevyo asingeyasema haya. Mbona hakuyasema kabla mwendazake hajaenda zake!?
Mtahangaika sana na Magufuli lakini mama kasema anaendeleza ya Magufuli.
Mkitaka mjinyonge ama mhame nchi.