Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kanikera sana, hivi wanamjua dikteta hawa mashoga?
Mpk yupo anaandika hapa dikteta kamuacha tu, fala sana.
Magu ana makosa yake lakini hata siku moja kumuita dikteta binadamu hatuna shukrani.

Tulia UVCCM

Kunywa maji kidogo then shusha pumzi
 
hakufikia ya level ya kuitwa diktekta
Hebu kuweni wa kweli?
Hivi mnawajua madiktekta nyie!

Ova
 
Unawaponda wachaga kwa ukabila, mstari unaofuata unasema kanda ya ziwa ndio mtadetermine urais wa nchi hii....aliewaita nyinyi washamba hakukosea na nina hakika kosa halitajirudia daima katika nchi hii! Yaonekana kumbe unamtetea mtu wa kanda yako na sio uahalisia wa mambo, nchi hii ina watu wa ajabu sana...sasa nini tofauti yako wew mwenye mawazo hayo na wachaga
 
Kimara : Wavunjiwe hakuna fidia hata senti tano

Mwanza : Nimezuia wasivunjiwe kwa sababu ni wapiga kura wangu

Nikifikiria hapo tu kwakweli He should Rest In Problem na alipwe anachostahili
 
Unawaponda wachaga kwa ukabila, mstari unaofuata unasema kanda ya ziwa ndio mtadetermine urais wa nchi hii....aliewaita nyinyi washamba hakukosea na nina hakika kosa halitajirudia daima katika nchi hii! Yaonekana kumbe unamtetea mtu wa kanda yako na sio uahalisia wa mambo, nchi hii ina watu wa ajabu sana...sasa nini tofauti yako wew mwenye mawazo hayo na wachaga
Ndio baba yao alivyowatia ujinga. anasimama majukwaani anasema haleti maendeleo kwenye jimbo la mpinzani. halafa badae anasema maendeleo hayana chama. Anajielewa huyo?
 
Unawaponda wachaga kwa ukabila, mstari unaofuata unasema kanda ya ziwa ndio mtadetermine urais wa nchi hii....aliewaita nyinyi washamba hakukosea na nina hakika kosa halitajirudia daima katika nchi hii! Yaonekana kumbe unamtetea mtu wa kanda yako na sio uahalisia wa mambo, nchi hii ina watu wa ajabu sana...sasa nini tofauti yako wew mwenye mawazo hayo na wachaga
Kosa gani halitajirudia?

Kanda ya ziwa ndio tuta determine urais wa nchi hii, ukubali ukatae huo ndio ukweli.

Tuna account over 40% ya wapiga kura wa nchi hii.

Sisi ndio tutaamua nani awe rais na hilo halina ubishi.

Mtaruka ruka lakini tutawakalisha chini mtake msitake.
 
Itakuwa ni ushenzi uliokithiri, Muuza ngada kumpenda Magufuli!!

Itakuwa ni upumbavu, mwenye vyeti feki amfurahie Magufuli,

Ni upumbavu pia, Kwa fisadi eti aseme alimpenda Magufuli

Ni ujinga pia, Kwa aliyezoea kula Vya kunyonga eti naye aseme alimpenda Magufuli,

Na hata huyu jamaa ni miongoni mwa hao, hawezi kumpenda Magufuli,

Washenzi ninyi mmekuwa sababu ya vijana weengi kufa Kwa sababu ya biashara yenu haramu ya dawa za kulevya
Asaanteee wajinga tu ndo wanamchukia jpm.ila alijua kunifurahisha, aliwanyoosha hatari
 
Aliweza kuhakikisha Elimu inakuwa bure, alifanikiwa kudhibiti fedha zilizokuwa zinapigwa na vibosile wa Taasisi na akahakikisha zinafikia walengwa, lakini alijishushia alama sana KUTOKUAJIRI, KUTOKUPANDISHA MISHAHARA, KUTOREKEBISHA KIKOKOTOO.
 
Nyie mnamuita Jiwe dikteta,
Hivi mnafahamu jela Nakasero ya Idd Amin Dada?
Kule ndo ilikua Jehanamu ya Afrika,kule ulikua unatwangwa jembe kichwani na unawekwa ndani vilevile, na ukiendekeza usenge wako kesho jamaa wako na wewe,
Utaomba po mwenyewe.
Mnamtuhumu marehemu hata jambo lolote hajafanya labda hata hajui,
Urais ni taasisi
 
Kutapeli vijana wa JKT kuwa atawapa ajira kumbeusanii tupu.
 
Tuambie kwanza ,
Wewe una mema gani?
Umejenga yapi?
Umerekebisha yapi?
Unafaa kwa lipi?
Ukifa utapumzika wapi, au ndo
Watukana mamba kabla hujavuka mto.
 
Jamaa alikuwa mkabila sana, pia alipenda kuabudiwa kitu ambacho ni dhambi kubwa....

Ana damu za watu wengi sana wasio na hatia mikononi mwake ukiachilia mbali aliowatesa na kuwafanya vilema wa maisha.

Katugawa sana watanzania huyu jamaa.
Sasa mnamwambia Nani?
Alikuwa hai hamkumweleza!
Haya mnayotaja leo yanawasaidia Nini?
Mbona mnakuwa wajinga Kama wake wa Ayubu?
Kazi tu kuongeza machungu kwa watu wenye majonzi!!
 
Back
Top Bottom