Hata wewe ulidanganywa na viongozi wako kwa miaka mitano Lowasa fisadi,kwa vinywa vyao wakadai ushahidi wanao,2015 ndani ya masaa 24 mkasafisha jina mkaliondoa ktk list ya mafiasadi papa na akawa mgombea wenu.Ndio uzuri wa siasa ukiwa msahaulifu lazima upelekeshwe.
Mimi namuogopa sana mtu asiyekuwa na misimamo na anayepingana na alicho kiongea kwa kinywa chake,kwani kuna siku anaweza AKANA HATA JINSIA YAKE au akaligeuka taifa lake.
Ila yote kwa yote ndio demokrasia,unaloliona wewe baya,wenzako wanaliona zuri ila mimi Magu ni rais bora kwangu baada ya Nyerere itabaki kuwa hivyo labda atokee mwengine huko mbele.