mzee mimi niko timamu. Baki kwenye mada ya Magufuli. Nikisema hafai namlinganisha na vigezo vya kufaa sio Lowasa kwa sababu Lowasa sio kigezo. Huna cha kunidanganya kuhusu jiwe,ninaona vingi acha na hizi propaganda za majukwaani
Katika watu ambao hawapaswi kabisa kumcheka jiwe ni hawa chadema sijui ukawa. Ile flip ya kumuweka mamvi last minute mi sawa na baba mwenyewe nyumba kumkaribisha mgeni alale na mke wake. 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ujinga mkubwa sana ule.
 
He is My sons's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Mtoto mdogo hukuwepo wakati nchi hii Ina neena
 
1993 Benki Kuu Tanzania iliajiri wachaga tu kutoka BA Economics kutoka pale mlimani. Mimi nilikuwa muathirika wa nepotism hiyo.
 
Highly exaggerated percentage. Only if you think as a tribe which is very unlikely.
 
1993 Benki Kuu Tanzania iliajiri wachaga tu kutoka BA Economics kutoka pale mlimani. Mimi nilikuwa muathirika wa nepotism hiyo.
Wachaga ni watu wabaya sana. Hawataki kuona wenzao wanapata.

Wanatuzushia ukabila watu wa kanda ya ziwa, sisi kupata rais wa kanda ya ziwa imekua nongwa, sasa tutawanyoosha hawa wapumbavu.
 
Sisi kwetu wamepita marais wengi lakini.amna alietuwekea.lami kaja jpm katuchapia lami hii kauli nazani uongeage ukiwa jimboni kwenu kwetu unaweza kuuliwa ata kwa kulogwa.
 
Lowasa hakuwa mbaya kama dikteta jpm, uyu alibakisha tu kuanza kula nyama za watu, aliwatia watu vilema, kama haikutosha akawaua sasa kingefuatia kuwala
 
Nijibu tu kwa ufupi, uzuri wewe sio Mungu na wewe ni mwanadamu, hakika utakufa, so your wish ni kama dua la kuku. Anaetoa hukumu ni Mungu tu. Ingekuwa Mwanadamu mbona ingekuwa kazi?
 
Labda kwako wewe

Kwetu sisi alikua mwema sana, tena zawadi toka kwa Mungu
 
Sijui mods wamelala?

Huu uzi mbona unajadili vitu vya kijinga sana.

Tanzania ina kila aina ya watu wajinga na wapumbavu pia wamo.
 
Angalia lipumbavu la vyeti feki hili,fisadi kubwa.

Hakuna anayemchukia HAYATI JPM isipokua washenzi

1. Fisadi

2. Vyeti feki

3. Waliokosa teuzi kwa madhaifu yao au kwa kufuata usawa wa JPM kumteua kila anayeweza maadamu ni raia wa nchi

4. Mishahara hewa

Mna hasira utadhani mlikua sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…