Ndiyo maana Mungu alitusikia kilio chetu.
 
right
 
He was da best president ever
mzee mimi niko timamu. Baki kwenye mada ya Magufuli. Nikisema hafai namlinganisha na vigezo vya kufaa sio Lowasa kwa sababu Lowasa sio kigezo. Huna cha kunidanganya kuhusu jiwe,ninaona vingi acha na hizi propaganda za majukwaani
 
Mwendasake alikuwa na msimamo upi?
Dakika hii anahubiri Maendereo hayana chama, dakika chache baadaye anatangaza ataua vyama vyote vya siasa kwa njia haramu na wengine anawamiminia marisasi kwa gharama ya Kodi za wananchi!!!!
 
Kimara :Wavunjiwe hakuna fidia hata senti tano

Mwanza : Nimezuia wasivunjiwe kwa sababu ni wapiga kura wangu
Hivi ni kweli kabisa alitamka haya? Binafsi sikumsikia live. Kama ndivyo, alikuwa mbaguzi, mbaya kabisa. Anastahili kuteseka jehanamu.
 
Mwendasake alikuwa na msimamo upi?
Dakika hii anahubiri Maendereo hayana chama, dakika chache baadaye anatangaza ataua vyama vyote vya siasa kwa njia haramu na wengine anawamiminia marisasi kwa gharama ya Kodi za wananchi!!!!
MISHAHARA
 
Muuaji katu hawezi kuwa Bora hata Kama angeijaza nchi yote maziwa na asali, kamwe daraja haliwezi kuwa ndo gharama ya Maisha ya watu, Uhuru wa watu na demokrasia ya watu. Huyu alikuwa mtu katili aliyebahatika kupewa nafasi asiostahili.
 
Sisi kwetu wamepita marais wengi lakini.amna alietuwekea.lami kaja jpm katuchapia lami hii kauli nazani uongeage ukiwa jimboni kwenu kwetu unaweza kuuliwa ata kwa kulogwa.
Ndo mana amekuwa Rais wa kwanza kufia madarakani. Mungu fundi sana. Magufuli alikuwa mshenzi tu full stop.
 
Watu badala ya kushukuru Mungu amewafanyia wepesi,wanalaumu
Labda kama wewe ni wa kanda ile, na una nyumba pale Mwanza alipoamuru zisibomolewe sawa. Lakini ungekuwa na nyumba pale Kimara ukabomolewa bila fidia, hungeweze kucomment hivi.
 
Lowasa hakuwa mbaya kama dikteta jpm, uyu alibakisha tu kuanza kula nyama za watu, aliwatia watu vilema, kama haikutosha akawaua sasa kingefuatia kuwala
Huo ni mtizamo wako na ni haki yako, ila kwangu mimi jamaa alikuwa mchapakazi,mfuatiliaji na mwenye msimamo.

Lowasa hakuwa mbaya? inawezekana 2010-2015 ulikuwa sijui hujazaliwa,sema tu siku hizi website ya Mwanahalisi imefungwa ungeenda hata kujisomea,habari za Lowasa ila si shangai ndio demokrsia.
 
Mwendasake alikuwa na msimamo upi?
Dakika hii anahubiri Maendereo hayana chama, dakika chache baadaye anatangaza ataua vyama vyote vya siasa kwa njia haramu na wengine anawamiminia marisasi kwa gharama ya Kodi za wananchi!!!!
Yaah huo wako ila mwamba alikuwa unique upande wa misimamo yake,wewe huona sikulaumu ila mimi nimeona kwenye madini,Corona,sekta ya ujenzi,Afya ndio uzuri wa demokrasia kila mmoja abaki na anacho kiamini na kuendelea KUKUBALI KUTO KUKUBALIANA.
 
Muuaji katu hawezi kuwa Bora hata Kama angeijaza nchi yote maziwa na asali, kamwe daraja haliwezi kuwa ndo gharama ya Maisha ya watu, Uhuru wa watu na demokrasia ya watu. Huyu alikuwa mtu katili aliyebahatika kupewa nafasi asiostahili.
Magufuli haja bahatika bali umahiri wake wa uchapakazi,uwajibikaji,ufuatiliaji kipindi alipokuwa waziri ndipi kimempa nafasi ya kuwa Waziri.Mimi sipo hapa kukufanya uamini,mimi nipi hapa kuongelea mazuri ya Magu na ndio maana kwangu ataendelea kuwa bora.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…