This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi....
Ntamkumbuka JPM kutokana na kipindi kigumu cha maisha nilichopitia ambacho kitajulikana katika vitabu vya historia kama kipindi cha "VYUMA VIMEKAZA"
Ntamkumbuka JPM kutokana kipindi cha wimbi la kuteka watu na kuua watu hovyo ambacho kitajulikana katika vitabu vya historia kama kipindi cha "WASIOJULIKANA"
Ntamkumbuka JPM kutokana na kipindi kigumu cha wimbi la unafiki ambacho kitajulikana katika vitabu vya historia kama kipindi cha "WE ARE ON THE RIGHT TRACK" wakati hali ni total mess bila nyongeza ya mishahara kwa miaka mi'5
Ntamkumbuka JPM kutokana na kipindi kigumu cha maisha ya propaganda za "UCHIMI WA KATI" ambacho kitajulikana katika vitabu vya historia kama kipindi cha "NCHI HII NI TAJIRI " amabayo maisha ya watanzania yalikosa uhakika wa KULA na KULALA
Ntamkumbuka JPM kutokana na kipindi kigumu cha maisha ya kuigiza na kujipendekeza kinafiki kwa viongozi hasa wabunge wa CCM na mawaziri unafiki uliopelekea mpaka Shehe Mkuu wa mkoa kusoma dua kwa jina la YESU
Ntamkumbuka JPM kuwa raisi mbabe alievunja na kusigina katiba ya nchi bila ya aibu miongoni mwayo uvunjifu mkubwa wa katiba katika tukio la wabunge wa COVID-19
Kwakweli ntamkumbuka kwa mengo mabaya na kuchefua
Sasa hivi yupo mbinguni anakula marungu ya moto wa Jahanam unaoitwa MAAHIYA ambao ni NAARUN HAAMIYA
Maahiya ni ule moto mkali kabisa ambao wanchomwa wauwaji, wanafiki, watesaji wabaguzi, majambazi na hasa wale wanaojiona ni Mungu watu.
REST IN PROBLEMS huko uliko Magu
Haya tuombe dua Ndugu zangu
Allah akulipe kwa maouvu na unafiki ulio ufanya kwa nchi hii In Shaa Allah ... Amen [emoji2969][emoji2969][emoji2969] !!!
Zaidi kabisa Allah akulipe kwa risasi za moto wa JAHANAM kama zile risasi alizo mpiga T.A Lissu ... Amen.
Allah akulipe kwa marungu makali ya moto wa JAHANAM kwa dhuluma ya kila senti ya mlipa kodi aliyoitumia kununulia wapinzani ... Amen.
Allah akulipe kwa marungu makali ya moto wa JAHANAM kwa kunuia kuiua CHADEMA ambayo kwa uwezo wake Allah ukafa wewe na CHADEMA ukaiacha ikiwa hai tena yenye nguvu zaidi ya jana ... Amen.
Allah akulipe kwa kukuvunja vunja mbavu zako huko JEHANAM kama ulivyo vunja nyumba za watu wa kimara na kisha ukawaacha wa Mwanza eti kwakua wapiga kura wako ... Amen!!!
Allah akuzibe mdomo kwa kaa la moto wa JAHANAM kama ulivyoviziba mdomo vyombo vya habari nchini ... Amen.
Allah akufunge minyororo ya moto wa JAHANAM kama ulivyo wafunga watu kwa makosa ya kuwabambikia kesi za utakatishaji na uhujumu uchumi ... Amen.
Allah akutupe kwenye shimo la chini kabisa la moto wa JAHANAM kama ulivyowatupa kina Ben Sa'8 na Azori Gwanda kwenye vitoba baharini ... Amen.
Allah aining'inize roho yako katika tanuru la moto wa JEHANAM kama ulivyo waning'iniza kina Roma na Mdude ... Amen.
Allah akupoteze usijulikane teeena kama lile kundi lako la kuteka, kutesa na kuua watu la WASIOJULIKANA pia awalaaani wote wanao Lilia Legacy yako nao wapoteee kama ulivyopotea wewe.
Amen.
Jamani wote tuseme Aaamin.