kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,893
Hadi wa songwe wanalalamika?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli una matumizi mabaya ya akili.Umeazisha mada mwenyewe unachangia mwenye hahahaaa ni dalili kua hukuliki wewe na yeye na kiukweli he was worse sasa inabidi asafishwe kwa nguvu
We know them They believe in Regionalism and Nepotism ideology long time ago.Ukiona mwananchi wa Mbeya anamsifia Magufuli basi ujuwe kisomo chake ni duni au hajitambui.
Hasa suala la ajira ameajiri watumishi wengi kuliko Rais yoyote !!! Alipandisha mishahara saaaaanaa yani watumishi wamefurahi sana hawakutegemea !!! Hakuwa mbinafisi wala hakujenga kwao kama Jakaya kikwete na BW Mkapa ,Jpm hakuwa mbinafsi kaaabisa ,aliwapenda sana wakisoaji wake mpaka akawafungulia account benk,sita msahau kwa uwezo wake mzuri sana wa kuimudu lugha yaa kiingereza kweli aliimudu,Aliwaongezea pesa benk wafanyabiashara hakukwapua pesa benk ( account za watu) yan aliwaita na kuongea nao kisha akawaongezea pesa!!!alichagua zaidi watu woteee kuwapa nafasi kubwa hakipendelea kabila lake wala kanda yakeHe is My sons's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Not for him!!!!You never know value of something until you loose it.
Kurudisha heshima ya vyeti Dah! Wenye vyeti feki walishaona kukaa darasani ni bure!!!!!! MAGUFULI HONGERAAAAAA
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Amkumbuke nani??? Kama vyeti fek ,ufisadi ,wizi ,upo na mishahara inapanda na ajira zipo potelea mbali kuliko wakati wake ooooh ntaongeza mshahara ooooh nyokonyoko kweeeeeendaaa utamkumbuka wewe na mumeoMjiandae sasa hali yote hiyo inakuja kurudi
Watu watamkumvuka tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mwenzio Nina kato ni za wine na nimesha lianzisha !!!Mkuu Jmamos ntakua hapo kidimbwi nachoma Mbuzi kama utakua mtaa ntakuita tuje tuyajenge. KIMSINGI MIMI PIA SIJAWAHI VUTIWA NA JIWE HATA KIDOGO NA NILISHASEMA KAMA MUNGU ALITULETEA JIWE MILELE BASI KUNA SEHEMU TULIMKOSEA NA NDO HYO KAMTWAA
Mzuri kwenuAcha kutuaminisha ya kuwa wewe ndio unaijua nchi hii, binafsi mimi sio mtu wa siasa kabisa nayasema haya kwa jicho lisilolenga na kuona siasa. JPM alikuwa kiongozi mzuri hata kama alikuwa na mapungufu ni ya kibinadamu na alilazimika kufanya aliyoyafanya kwa manufaa na maslahi ya nchi na sio maslahi binafsi.
Walizimia na kubebwa huku mkononi wameshikilia mifuko ya viporo yaaani usaniii mtupuuuuuu afe tuuuuuMsione wamama wanadondoka pale Uhuru kwa kilio na kuzimia mkazani wanaigiza sio maigizo yale wale wengi ndio wafanya biashara ndogo ndogo kama Mama Ntilie ambao kipindi cha JK mliona wakimwagiwa michuzi yao kwa mateke barabarani na wagambo wa jiji wengine walikuwa wamachinga kipindi kile waliteswa aisee.
Lakini Magu alivyoingia akawabeba, wengi wanalia sababu hawajui sasa hatma yao ni nini hawaelewi raisi aliyepo sasa atakuwa na msimamo gani either ataendelea kuwabeba or ndio mambo yale yale ya safisha jiji.
Utawala wa Magufuli hautosahaulika na wafanya biashara ndogo ndogo, wapo walioumia na walioneemeka ni hawa waacheni walie tu.
R.I.P JPM.
Nitamkumbuka kama rais aliyeonyesha njia wengi wakamkubali lakini mafisi na mafisadi wakamchukia na kufurahia kifo chake. Hata hivyo, kuna siku nao watamkumbuka. Ni suala la muda.hao wote niliowataja ni vikongwe.