Mkuu ebu achana na JPM ,kadri unavyozidi kuleta mada zake watu wataendelea kupiga spana wakati tayari kashaenda.
 
Je Jaji haya unaona ni busara yaendelezwe? Rais hana authority ya kumuondoa mtendaji mkuu wa Taasisi ambayo sio wholly owned na serikali!!! Kimei aliondolewa na Bodi yake na sio mwendazake.
Kwani Kimei aliondolewa ama alistaafu?
 
Kwani Kimei aliondolewa ama alistaafu?

Kustaafu maana yake muda wako umefika kisheria hivyo lazima uondoke na hasa serikalini!!! Kwenye mashirika inategemeana na utendaji wako kama bodi yako inaona unafaa; Kimei pale CRDB, benki ilillimbikiza madeni chefu chefu mengi kutokana na kutoa mikopo kiholela kwa jamii ya wakina Manji na hivyo faida ya benki kupungua ndipo bodi ikaamua kumpumzisha!!!
 
Mkuu ebu achana na JPM ,kadri unavyozidi kuleta mada zake watu wataendelea kupiga spana wakati tayari kashaenda.

Mnyongeni lakini pia hana budi kupewa haki yake!!! Hakuna mtu kakatazwa kupiga spana , ndio mwendo wenyewe siku hizi watu watoe nyongo!!
 
Subiri povu kutoka Msoga gang
 
Roho yako mbaya haijengi. Sema ukweli
 
Kwa hiyo ndugu kama mtu amepata ajira mpya hakuna haja ya semina elekezi.
 
Kwa hiyo ndugu kama mtu amepata ajira mpya hakuna haja ya semina elekezi.

Zisifanyiwe kwenye mahoteli makubwa na kulipana posho!!! Hebu fikiria wabunge wanapopewa seminar ya kuwaelimisha mambo wasiyoyajua wanaomba walipwe posho na huku wanalipwa fedha za vikao vya bunge!!! Hawa ni wabunge walafi kupita kiasi!!!
 
Zisifanyiwe kwenye mahoteli makubwa na kulipana posho!!! Hebu fikiria wabunge wanapopewa seminar ya kuwaelimisha mambo wasiyoyajua wanaomba walipwe posho na huku wanalipwa fedha za vikao vya bunge!!! Hawa ni wabunge walafi kupita kiasi!!!
Weka mambo wazi, unapinga semina kwa wansiasa au watumishi wa umma kama walimu ,manesi n.k
 
Weka mambo wazi, unapinga semina kwa wansiasa au watumishi wa umma kama walimu ,manesi n.k

Soma vizuri nimesema matumizi mabaya ya fedha za serikalini!!! Siasa waachie kwenye vyama vyao watajuana wenyewe na seminar zao!!!
 
If you live in the past, the future will never find you.
Aluta continua
 
1.KUAPA KUTOPELEKA maendeleo KILIMANJARO NA ARUSHA.
Lile train lililofufuliwa lilikuwa linaenda wapi??vipi mandege pia naskia hayatui arusha,uwanja wa KIA umefungwa pia.
2. kutengua wachagga wote waliokuwa kwenye nyadhifa, akina Kimei, Tenga, Shayo, Mramba wa TANESCo.
Kimei ni mbunge kwa sasa kupitia ccm.
3. KUIBA KURA 95%
Mlitakiwa mdai tume huru kwanza kabla ya kuingia vitani na silaha za plastiki.
4. Kumfokea padre na sista akiwa madhabahu ya Katoliki [st peters]
Almfokeaje
5. kuzuia wachagga wasichukue Tanzanite mererani kwa kujenga ukuta na kulinda na wajeda ila
Nashukuru wamasai waliendelea kuzipata,akina laizer nk.
KUZIPELEKA KWA KAGWAAME.
5. kukataa katiba mpya.
Jk aliwapa,na bado mkamwita dhaifu.
6. Kumtaja Mungu mdomoni huku moyoni mwake akijua hayupo kwa matendo yake.
Mungu ndiye anajua nani wa kwake,Mungu hana chawa wa kumsemea kama unavyotaka kujiweka hapo.
7. Kusifia wanawake weupe huku akijua mkewe ni mweusi.
Hili ni personal sana inaonekana uliumia kuliko mkewe😂😂
 
1. Alipiga marufuku safari za nchi za nje zilizokuwa zinatumia fedha nyingi bila tija na hasa safari za wabunge . Hizi Ndio safari wakina Ndugai walikuwa wanapiga mabilioni!
Ndugu yai hakwenda nje kipindi chake?
Makonda hakwenda nje kipindi chake?
Polepole hakuwa Katibu mwenezi wakati huohuo Mbunge?
Mashangingi yenye namba ST.., SU, DFP yaliyokuwa yanajaa pale Nashera Morogoro yalikuwa yanampeleka nani
 
Habari za leo bwana massawe
 
Dr. Abas unamfahamu? Alikuwa na vyeo vingapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…