Ni zaidi ya siku mia moja kama tukizingatia tarehe halisi aliyokufa
 
Jembe letu hili👆🙌
 

Taifa lina furaha na amani ya ajabu, baada ya mtu muovu, na jizi la kura kuelekea kuzimu.
 
Huyu jasiri aendelee kupumzika kwa amani. Aliipenda Tanzania na wenye akili wakamuelewa vyema kwa upana alikuwa na dira ya aina gani.

Alishiriki katika kuifungua nchi hii na ninaamini kwamba Mama Samia amepunguziwa mno kazi ya urais kwani misingi iliyowekwa awamu ya tano itauwezesha uwekezaji kuliongezea pato taifa letu.

Rada nne alizonunua zinakwenda kuongeza pato la hazina kwa kiasi kikubwa sana, wakati safari za ndege zikirudia wingi ule ule uliokuwepo kabla ya corona.

Funzo lake la uthubutu litaendelea kuwa somo makini kwa marais wote wa afrika kama alivyosema rais wa Malawi siku ya kuaga mwili pale Dodoma.

Rest in eternal peace JPJM.
 
Nitamkumbuka kwa kunidhulumu stahiki zangu kwa miaka sita nikiwa kama mtumishi wa umma. Mbaya zaidi na huyu aliyemuachia kijiti naye kama hasomeki vile!!

Maneno matamu mengiiii!! vitendo kiduchu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…