Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Ni zaidi ya siku mia moja kama tukizingatia tarehe halisi aliyokufaHabari za Asubuh waungwana..!
Leo tarehe Jun 25 ni siku ya 100 tangia Hayati Mh John Pombe Magufuli afariki Dunia, Kama Watanzania tuna nini chakukivunia kwa JPM?
Binafsi namuenzi Dr. John Magufuli kwa kufanya kazi nikiamini jitihada zangu ndiyo zitaniletea maendeleo yangu.
Pumzika Salama Magufuli
Nitakukumbuka Daima.View attachment 1829123
Sent using Jamii Forums mobile app