Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,524
- 4,477
Kama vipi mfuate tu huko aliko, ndio utakuwa uamuzi mzuri!!kwani kwa mpira huu mama anaoupiga ni lazima MWENDAZAKE MASALIA, mpate tabu sanaaa!!kuna wimbo mmoja wa dini unasema MUOMBEE ADUI YAKO , AISHI MIAKA MINGI ILI AONE UNAVYOBARIKIWA"Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha
Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka
Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu
Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani
Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba
Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha

Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?Inahuzunisha sana! SSH anadhani kwa kuonehsa chuki za waziwazi kwa JPM atajijengea umaarufu kisiasa! Ukweli wengi wamebaki kinywa wazi, machozi yao wana mwachia Mungu aliyeruhusu haya!
Sent from my SM-P605 using JamiiForums mobile app
Aje akuchukue ukaungane naye huko aliko.Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba
Hapo kwenye mtandao wa rami unasema ukweri ndugu yangu.Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha
Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka
Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu
Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani
Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba
Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Magufuli baba nakulilia sana ulikuwa na ndoto na Tanzania ulitaka Watanzania waishi maisha mazuri ndio maana kasi yako ya kujenga miundombinu ya Afya ilishika kasi kila mahali baba yangu Magufuli umetuachia Mama Samia binafsi nimekuwa sugu naye hanivutii ni kigeugeu anayetafuta sifa za kulazimisha
Magufuli baba uliamua kutengeneza miundombinu imara sana ya Reli na barabara uliamua kufufua shirika la TTCL lililokuwa limekufa Magufuli baba ninakukumbuka
Uliamua kufufua shirika la ndege la ATCL baba shirika hili linaendelea lkn huku wanatumia ndege hizohizo ulizonunua na hawaachi kukudhalilisha kwa kweli wanakudhalilisha yaani baba leo unaitwa mhalifu
Wanasahau kabisa Mtandao wa rami ulioutandaza Tanzania nzima kipindi ukiwa waziri na hata baada ya urais wako baba mama uliyetuachia anekuwa kinara wa kukuaibisha vijana wako uliowaamini leo ndio wanakamatwa kwa mfano SABAYA baba yuko jela sasa hivi wakati Uamsho ndio wanadunda mitaani
Baba Magufuli umejua kutuumbua baba tunakulilia kama unaweza fanya lolote baba fanya tunakulilia baba tunaumia baba
Uliyemuamini hakuwa rafiki yako anavuruga sana yaaani kwa kweli tunaumia baba mioyo yetu inavuja damu
Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?
Mleta mada kuwa specific unazungumzia nini ambacho hakipo sawa kwa mfano?
Sikieni ninyi pro Magufuli;
Kama na ninyi ni wale watu wa kufurahia binadamu wenzenu KUUMIZWA,KUPORWA MALI,KUPIGWA RISASI,KUUAWA NA KUFUNGWA KWENYE VIROBA,KUNYIMA HAKI ZA MASLAHI WATUMISHI,KUTUKANA HADHARANI etc ,tambueni kuwa huyu mama hayupo hivyo na ni mtu wa Mungu wa kweli na mwenye hofu. Sio huyo mtu wenu aliyewaaminisha kuwa ana Mungu kumbe la hasha.
Msiwe watu wa kufurahia kuumizwa kwa wenzenu katika namna na hali zozote zile. Hata ulichoandika hukijui! Katika hayo uliyoandika kipi kimeharibika? Mama yupo imara anafanya kazi na Watanzania wanampenda na wana amani nafsini mwao maana hakuna hofu tena.
Trust me,Tanzania was a northern Korea kwa hali ilivyokuwa.Nchi haziendeshwi vile alivyokuwa anaendesha na baadhi ya wasaidizi wake.Mama kai-stablize nchi ipo saafi na mambo yanaenda.
Kama unaona si sawa nawe KUFA.Watanzania wanamshukuru Mungu sana sana kwa matendo na ukuu wake aliouonesha kwao katika chi yao.
Mungu mbariki mama Samia.

Ametenda wema wake kwa Taifa hili, na sasa ameenda zake, hakungoja shukurani..Kwani ameonesha chuki za wazi kivipi? Katika lipi labda?