Hii ni vita binafsi na Diallo sasa.. Naona huu ni uzi wa NNE hivi ukimuandika yeye tuu
 
Hata wamchafue vip jpm hachafuliwi, mpasa sasa hakuna kitu kipya kiongozi ambacho kafanya, vyote jpm kafanya yeye.

Labda kipya ni haya ma chanjo.
 
Hata wamchafue vip jpm hachafuliwi, mpasa sasa hakuna kitu kipya kiongozi ambacho kafanya, vyote jpm kafanya yeye.

Labda kipya ni haya ma chanjo.
Magufuli matendo yake yataendelea kumchoma huko kuzimu aliko
 
....ni rais bora kuwahi tokea duniani .

Note: Hapa ndipo thamani ya ujinga wako ilipojikita.
Watu kama wewe hawawezi kuongozwa na rais lelemama kutolana na tabia na makuzi uloyonayo bali kwa mkono wa chuma tu.

Tabia ya uvivu na ushabiki uliyonayo ndiyo ujinga wako na kuona unaonewa na rais.

Marais wengi duniani walioendeleza nchi zao ni ambao weww ubongo wako unawaona ni madikteta.

Hata Wamarekani wasingefanyishwa kazi kitumwa wasingefika hapo leo,na nchi nyingi ulaya ziloendelea kwa kuwa zilikuwa chini ya utawala wa kifalme ulioongoza kwa nguvu.

Acha kulalamika fanyakazi na ujinga wako
 
Legacy alizoacha magufuli ni

1. Rais pekee ambaye ktk kipindi chake chote cha utawala wake hakuwahi kupandisha vyeo wala mishahara watumishi wa Serikali.

2. Rais pekee ambaye ktk kipindi chake cha utawala watu walitekwa na watu kupigwa risasi hadharani bila wahusika kuchukuliwa hatua mfano Ben SAA name, Azron, no dewjo, Roma na Lissu

3. Rais pekee ambaye ktk kipindi chake alichokuwa madarakani alifunga biashara za watu na kuwanyanganya fedha zao MF maduka ya kubadilisha fedha za kigeni.

4. Rais pekee aliyeteua madc na rc wa hovyo Sana MF akina. Ole sabaya.

5. Rais pekee ambaye amekopa fedha nyingi Sana kulipo Serikali zote zilizopita.

6. Rais pekee aliyezaa na mke wa mtu Kairuki akiwa madarakani

7. Rais pekee ambaye alikuwa anaenda Kanisani kusali huku akilindwa na mtutu wa bunduki.

8. Rais pekee aliyekuwa anawatukana wananchi wake hadharani

9. Rais pekee aliyeanzisha suala la kuwanunua wanasiasa wa vyama pinzani.

10. Rais pekee aliyeamua kuchafua uchaguzi mkuu wa viongozi kwa maslai yake binafsi.

11. Rais pekee aliyetaka kubadili katiba ili atawale milele.

12. Rais pekee dictator aliyepata kutokea Tanzania.

13. Rais pekee aliunga mkono mbinu za mitishamba na kupinga mbinu za kisayansi za kupambana na magonjwa MF covid case.

14. Rais pekee kutokea Tanzania kufia madarakani kutokana na udhembe wake mwenyewe wa kudharau korona.

15. Rais pekee ambaye wananchi walifurahi waliposikia amekufa.
 
Kama kuna hayo madini kweli, mbona alipora fedha za Bureau de change na kwenye mabank, kwanini hakuuza hayo madini?

Kama kuna madini ya hivyo, hizi kodi mara mbili mbili kwenye mafuta na line za simu ni za nini? Imekuwaje deni la taifa likuwe kwa 20t+ kwenye miaka yake mitano, badala ya kuuza hayo madini?

Hiyo 90% mnayomuamini ni wale wajinga aliowabrainwash kwa kuwalisha propaganda mfu.
 
Mtu muovu unataka aiitweje?
 
Tatizo letu tunafundisha watoto wetu kuelewa vitu badala ya kuwafundisha waelewe namna ya kujifunza vitu. Haya ndiyo matokeo ya hiki kinachoendelea hapa nchini. Laiti tungelijua mapema na kuwahi kuwafundisha watoto wetu kujifunza vitu tusingelikumbana na hali tuliyonayo kwa sasa hapa nchini hasa kifikra. Nitakuja na uzi siku za usoni kufafanua hili.

Nakushukuru sana raia mwema wa Tanzania uliyenigusia wazo hili. Tendea kazi ombi langu. Mungu akubariki sana. Amina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…