Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Alijipendekeza sana kwenye kampeni akitarajia fadhila.
Baada ya uchaguzi Rais Magufuli kwa uzalendo wake alijiweka kando kabisa na wanaojipendekeza kama huyu mwana CCM mzandiki...
Jambo la kushukuru wengi wanaompinga Jiwe sasa hivi ni wanaccm wenyewe! Wengi akili zimeanza kuwarudia, yule mzee hakupaswa kuwa rais wa nchi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Magufuli alikua na makosa mengi lakini kwenye kodi alikua sahihi.

Watu kama Antony Dialo ni wezi wanajulikana na wakwepa kodi, hakuna asiefahamu hilo.

Mwambieni alipe madeni ya mishahara, alipe maji, alipe umeme maana hao wanamdai sio kidogo.
Unajua tatizo la ccm kabla ya jpm , ilikuwa ni chukua chako mapema (ccm) hilo halipingiki.

Hiyo khari nikama inataka kujirudia, ila mama atawamaliza + chongolo🤣🤣🤣 ngj tuone.
 
He is My sons's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Mimi nitamkumbuka kwa kuminya demokrasia, hususan kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa wa 2019 na uchagyzi mkuu wa 2020.
 
He is My sons's legacy

Amenisaidia Mambo mengi.

JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo

Naogopa nchi yetu inarudi shimoni

MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
😍😍
 
Alijipendekeza sana kwenye kampeni akitarajia fadhila.
Baada ya uchaguzi Rais Magufuli kwa uzalendo wake alijiweka kando kabisa na wanaojipendekeza kama huyu mwana CCM mzandiki.
Isitoshe jamaa ikagundulika vyombo vyake vya habari vilikwepa kodi akanyooshwa kisawasawa.
Hakika Magufuli alikuwa mzalendo na alijitenga na mafisadi.
Leo hii Chama kinaruhusu atukanwe na mafisadi!!!

RiP JPM
VIVA JPM
YOUR LEGACY IS HERE TO STAY
Unaandika kama kwamba kila mtu anajua mawazo yako. Alijipendekeza....nani?
 
Tatizo mafisadi wana wasiwasi mama keshaanza kustuka kama vile anaingizwa chaka watu wapore tena keki ya taifa.

Hiyo interview ni kama imepangwa huyo mtangazaji accusations zake ni baseless na majibu ya aliekuwa boss wake ni baseless yote hayo mama asifikirie tena kurudi kulekule.

Bahati mbaya sana mafisadi yamesoma na yanajua mbinu za propaganda.

Wameshamuona ni rahisi kumpotosha washapachika majina kadhaa yamepita kwenye nyadhifa mbali mbali mama hana muda wa ku verify wala kujua kwanini anamweka fulani pale.

Kwenye mafuta tu washamrushia changa la macho mafuta tozo iliyoongezwa na serikali sio tsh/100 ni tsh/200 per litre hizo info zipo wazi. Na yamepanda bei ya jumla kwa tsh/156 per litre ukijumlisha hiyo total ni tsh 356 + vat ndio maana bei imeongezeka kwa wastani wa karibu sh 400.
 
Kila binadamu ana side A na B.

Kila kiongozi ana side A na B.

Side A ikiwa mazuri side B yanakuwa mabaya yake au kinyume chake.

Unaweza kuwa na mlolongo mkubwa wa matukio side A ambayo ni ya kawaida.

Lakini ukawa na matukio machache ya side B ambayo ni ya ajabu na kutisha.

Ukimgawia mtu chakula, nguo na kumlipia binti yake ada na nauli ya kwenda shule (side A);

Kisha mwaka wa pili ukampa mimba binti huyo (side B);

Unategemea mzazi akumbuke chakula, nguo, ada na nauli wakati kuna moja kubwa la ubakaji lilozaa mimba kwa binti yake?

Katika maisha ya kawaida au katika uongozi jitahidi uzito wa maovu yako usizidi uzito wa mema. Kinachogomba ni uzito siyo idadi.
 
JPM : Hata ccm kulikuwa na mafisadi ya kutisha kuliko hata vyama vingine
 
Unaweza kuelezea trillioni 1.5 za kujenga ile airport kijijini kule ziliidhinishwa wapi?
 
Pole yao sana...

Walaumiwe wizara ya Ardhi kwa kupima na kutoa hati watu wajenge kwenye hifadhi za barabara...
 
Back
Top Bottom