Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
SAWA.

Kuna anayegombana na hilo?

Hata mimi namsifu kwa kazi ya namna hiyo, na bado yapo mengine aliyofanya ninayomsifia juu yake. Lakini simkubali kabisa kama kiongozi wa nchi kwa hayo mengine ambayo hukuyataja.

Haya, endelea...
 
Fikiria miaka ya nyuma kabla hayati Magufuli hajapata urais. Ilikuwa ni vurugu maana dhahabu kibao ilikuwa inatoroshwa kwenda nje

Madini kama Tanzanite ndio yaliporwa kama mtu anachora katuni

Magufuli aliwafumbua macho watanzania hasa baada ya kukamata kilo 30 za dhahab zikigoroshwa kwenda Kenya

My take: Masoko ya madini aliyoasisi JPM ni msaada mkubwa kudhibiti uhalifu
Kwa mara ya kwanza nasikia kwamba kichaa anaweza kuacha legacy.
 
Hayati Magufuli alifanya mengi. Muda wa kumkumbuka haujafika. Hata alipoachia ngazi, wengi hawakumkumbuka Nyerere muda mfupi tu tangiapo.

Ila baada ya waliochukua madaraka kuanza kuonyesha uchafu wao, hadi kesho Nyerere anakumbukwa si na watanzania tu bali hata dunia nzima. Tenda wema uondoke. malipo ni kwa Mungu.
Nyerere anakumbukwa sababu alijitahidi kuficha mabaya yake hakukuwa na mitandao wala magazeti hivyo habari zake mbaya hazikupata nafasi ya kujulikana.
 
Imepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka.

Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda kuwa magumu sana ndani ya tanzania tunakukumbuka sana baba,ulitunyima demokrasia ukatupa uzalendo na ujasiri wa kutamba mbele za watu na kusema mimi ni mtanzania na tulifanya kazi kweli hata alipokuja corona ulitupa ujasiri tukasimama imara.

Baba mimi nimeajiriwa nina makato kama yote kwenye mshahara

1. PAYE 9%

2. HESLB 15%

3. NHIF 1%

4. NSSF 10%

5. WCF

Pamoja na yote hayo baba mshahara wangu lazima upitie bank huko napo nakutana na makato kila nikitaka kutoa pesa zangu , baba yule yule waziri uliyemkataa leo hii amepewa dhamana kubwa sana na anatutesa kweli baba,

Baba huku bunge limeamua kumnyonya raia maskini aka mnyonye ambae ulipambana kuhakikisha anaishi vizuri leo eti pamoja na kulipa

1. Vat 18%

2. Transaction charge

Bado tumeanzishia kifo kipya kilichojificha ndani ya kodi ya uzalendo na kutuumiza sisi raia sisi wanyonge ambao mzigo wote tunaubeba sisi wakati wanaofanya biashara wakiachwa .

Baba leo hii bia ina thamani sana kuliko diesel na petrol - mafuta yanatumika kwenye machine mbali mbali hadi hospital na pia hata umeme unazalishwa kwa mafuta hii itasababishwa kuongezeka kwa gharama za kuishi ambazo zote izo zitamtesa raia wa chini

Baba tunakuomba uamke uje kuona haya yanayoendelea kwenye nchi uliyoipambania kwa jasho na damu
 
ENDELEA KUOTA
 
Alishindwa kuamka Nyerere kukemea usanii unaoendelea ndani ya Ccm na serikali yake !!. Ndiyo lije liamke Jiwe ?!

Oteni ndoto Ccm ni Ile ile
 
Mkuu kazi si inaendelea na JPM=Samia.

Kwani vipi tena?
 
Unaomba wokovu toka kwa shetani??????!!!!!!
 
Aamke aende wapi jingamani yule? Limeshakufa mara ya pili huko lilipo,
Na kama hujui kaburi lake lilichimbwa kilomita moja, maana kalikuwa kabishi sana kale kahutu, kangeweza kutoroka kaburini
 
Imepita miezi minne tokea chuma kitangulie mbele za haki huku watawala wamesahau kabisa kama kulikua na mtu anaitwa John ila umebaki ndani ya mioyo ya watanzania kama ulivosema baba tumeanza kukukumbuka. Tanzania ni vilio kila kona hakuna aliye na tabasamu ndani ya nyuso yake maisha yanaenda kuwa magumu sana ndani ya tanzania tunakukumbuka sana baba,ulitunyima demokrasia ukatupa uzalendo na ujasiri wa kutamba mbele za watu na kusema mimi ni mtanzania na tulifanya kazi kweli hata alipokuja corona ulitupa ujasiri tukasimama imara. Baba mimi nimeajiriwa nina makato kama yote kwenye mshahara 1. PAYE 9% 2. HESLB 15% 3. NHIF 1% 4. NSSF 10% 5. WCF Pamoja na yote hayo baba mshahara wangu lazima upitie bank huko napo nakutana na makato kila nikitaka kutoa pesa zangu , baba yule yule waziri uliyemkataa leo hii amepewa dhamana kubwa sana na anatutesa kweli baba, Baba huku bunge limeamua kumnyonya raia maskini aka mnyonye ambae ulipambana kuhakikisha anaishi vizuri leo eti pamoja na kulipa 1. Vat 18% 2. Transaction charge Bado tumeanzishia kifo kipya kilichojificha ndani ya kodi ya uzalendo na kutuumiza sisi raia sisi wanyonge ambao mzigo wote tunaubeba sisi wakati wanaofanya biashara wakiachwa . Baba leo hii bia ina thamani sana kuliko diesel na petrol - mafuta yanatumika kwenye machine mbali mbali hadi hospital na pia hata umeme unazalishwa kwa mafuta hii itasababishwa kuongezeka kwa gharama za kuishi ambazo zote izo zitamtesa raia wa chini Baba tunakuomba uamke uje kuona haya yanayoendelea kwenye nchi uliyoipambania kwa jasho na damu
Kama wewe ni mtumishi na una akili hizi, hata hiyo kodi kumbe ni ndogo. Wewe ni JUHA na hujielewi hata nukta.
 
Ya kingese yoote aliyoyafanya.

Alinifanya mpaka leo niishi maisha ya hovyo sana😈😈😈😈😈😈😈😈

Akamfanya Mlezi wangu anusurike kufutwa kazi akimtaja anavyeti feki mtu ambaye amefanya kazi serikaini zaidi ya miaka32😈😈😈😈😈😈😈

Yule jamaaa bora alivyotoweka na vibaraka wake woote😈😈😈😈😈
 
MWENDAZAKE alitumia uchawi gani? Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.
 
Back
Top Bottom