Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Ni Hilo tu. MWENDAZAKE alitumia uchawi ghani. Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.
Mengi aliyasimamisha,ajira, mafao, madaraja kupanda, uendeshaji wa kila siku semina nataratibu zinazofana na hizo, kamua mwekezaji, kamua mlipaji kodi, kesi uhujumu uchumi , faini Barabaqani,kwa uchache.
 
Kwawaulize kina Rugemalira, Mzee wa IPTIL Seth, Ndama mtoto wa Ng'ombe, Kubenea, Tito Magoti , Kibo Tours Karatu, Mo Dewji na matajiri wengine kimyakimya watakupa jibu.
 
Alikopa sh ngapi?
Hapa ilikuwa 2019 tu
Screenshot_20210706-073159.jpg
 
Walichukua ela za watu kupitia tiaraei na kukwapua ela za wanyonge kwenye mifuko yao ya jamii, yule mzee angetufilisi bora huyu mama anatuacha tufanye kazi huku anakata kidogokidogo mapato zetu.
 
Si mnataka democracy,Wacha niwakamue.
Alisikika mama mumoja TOKA visiwa vya mombasa
 
MWENDAZAKE alitumia uchawi gani? Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.
Waulize wafanyabiashara!
 
Back
Top Bottom