jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 36,197
- 29,717
Alikopa sh ngapi?Alikopa, bila kufuata utaratibu, akawa anatudanganya anatumia fedha za ndani.
Tena kwenye mikopo hiyo mingine aliiba
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikopa sh ngapi?Alikopa, bila kufuata utaratibu, akawa anatudanganya anatumia fedha za ndani.
Tena kwenye mikopo hiyo mingine aliiba
Mengi aliyasimamisha,ajira, mafao, madaraja kupanda, uendeshaji wa kila siku semina nataratibu zinazofana na hizo, kamua mwekezaji, kamua mlipaji kodi, kesi uhujumu uchumi , faini Barabaqani,kwa uchache.Ni Hilo tu. MWENDAZAKE alitumia uchawi ghani. Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.
Ile trillion 1.5 aliyokwapua pale hazina vipi amezikwa nayo?Alikopa sh ngapi?
Unachapwa mbele na nyuma na mzuka wa marehemuAlikopa, bila kufuata utaratibu, akawa anatudanganya anatumia fedha za ndani.
Tena kwenye mikopo hiyo mingine aliiba
Kama ndivyo ilivyokuwa basi bora angeendelea tu kukopa kuliko wananchi wa chini tukandamizwe kiasi hikiAlikopa, bila kufuata utaratibu, akawa anatudanganya anatumia fedha za ndani.
Tena kwenye mikopo hiyo mingine aliiba
Deni kiasi gani liliongezeka!!!?Kwa sababu alikopa sana na kusababisha madeni makubwa kwa nchi
Alaa kumbe alitumia kwenye shughuli za maendeleoIle trillion 1.5 aliyokwapua pale hazina vipi amezikwa nayo?
Hili deni la taifa limepaa vipi kama alikuwa hakopi?
Deni la Taifa limepaa kutoka kiasi gani hadi kiasi gani?Ile trillion 1.5 aliyokwapua pale hazina vipi amezikwa nayo?
Hili deni la taifa limepaa vipi kama alikuwa hakopi?
Unamzungumzia marehmu kichaa?Unachapwa mbele na nyuma na mzuka wa marehemu
Deni la Taifa limepaa kutoka kiasi gani hadi kiasi gani?Ile trillion 1.5 aliyokwapua pale hazina vipi amezikwa nayo?
Hili deni la taifa limepaa vipi kama alikuwa hakopi?
Hapa ilikuwa 2019 tuAlikopa sh ngapi?
Maendeleo ya kwake binafsi na chatoAlaa kumbe alitumia kwenye shughuli za maendeleo
Maendeleo yapi unayoyasema ww maana kila alichowahi kufanya hakuna alichowahi kukamilisha hata kdogo yale madege n hasara hasaraMaendeleo ya kwake binafsi na chato
Waulize wafanyabiashara!MWENDAZAKE alitumia uchawi gani? Maana sote Ni mashahidi alifanya miradi MIKUBWA BILA kuhangaika na vikodi vidogo kwa watu wa chini. Maswala ya MBOLEA kwa mfano Ni kumnyonya maskini mkulima wa kijijini huko.