Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaambiwa wakati anatoswa aliondoka na theluthi ya malaika. Yeah, wapo wanaomwona kama mzalendo. Ndio hao wezi kina Dialo.Kama Magufuli alikuwa ni mzalendo basi shetani ni mzalendo zaidi kwa kuwa naye ana mazuri yake na mabaya yake pamoja na ushetani wake.
Umemsikia dialo? Au Naye katumwa na mabeberu???He is My sons's legacy
Amenisaidia Mambo mengi.
JPM kafanya mengi makubwa kuliko Rais yeyote aliwewahi pita nakosa la kuandika kabisa vidole vinatetemeka, Nimelia Mimi leo
Naogopa nchi yetu inarudi shimoni
MUNGU TUANGALIE TENA WAJA WAKO
Leta hoja nikujibu kwa hoja ila ukileta vijembe nakupa vijembe piaToa hoja mama anataka tushindane kwa hoja,Si unajua mkeka wa maDeD bado
Mkuu Chahali, kuna aina kuu tatu za kumbukumbu za binadamu katika matendo yake aliyotenda wakati wa uhai wake hapa duniani: 1. Binadamu ambae matendo yake aliyatenda kwa ufanisi na kwa upendo kwa maendeleo yote, huyu atakumbukwa kwa muda mfupi kudogo. 2. Binadamu ambae matendo yake aliyatenda kwa ufasani, upendo na kushikiana na watu katika maendeleo yao bila upendeleo wa aina yeyote, huyu naye atakumbukwa kwa muda wote na wapenda uwazi na maendeleo. 3. Binadamu ambaye matendo yake aliyotenda ni kwa maendeleo ya nchi yake kwa ufasini lakini kwa mateso kwa watu wake, huyu atakumbukwa na watu wote (wa kikazi chake na kizazi tarafajiwa) duniani.Mnahaha. Asilimia kubwa ya Watanzania wamefurahi Mwendazake kuondoka, na hizo habari za legacy zimebaki kwenu tu
Namkumbuka kama jehenamu Kwa watumishi wa umma.Mkuu Chahali, kuna aina kuu tatu za kumbukumbu za binadamu katika matendo yake aliyotenda wakati wa uhai wake hapa duniani: 1. Binadamu ambae matendo yake aliyatenda kwa ufanisi na kwa upendo kwa maendeleo yote, huyu atakumbukwa kwa muda mfupi kudogo. 2. Binadamu ambae matendo yake aliyatenda kwa ufasani, upendo na kushikiana na watu katika maendeleo yao bila upendeleo wa aina yeyote, huyu naye atakumbukwa kwa muda wote na wapenda uwazi na maendeleo. 3. Binadamu ambaye matendo yake aliyotenda ni kwa maendeleo ya nchi yake kwa ufasini lakini kwa mateso kwa watu wake, huyu atakumbukwa na watu wote (wa kikazi chake na kizazi tarafajiwa) duniani.
Mfano mzuri ni kwa Rais John Kennedy na Rais Hitler.
This is a special thread and a tribute to the late J.P.M.
Najua tupo katika kipindi cha masikitiko kama taifa, Jemedari wetu amefariki dunia, kama lisemavyo neno la Mungu katika kitabu cha biblia kuwa mfalme hawezi kuokolewa kwa na jeshi lake kubwa bali ni Bwana hutuponya na mauti ( Zaburi 33:16), yaliyoandikwa yametimia Mungu amlaze mahala pema peponi.
Hakika tutammiss , kama ule usemi usemao umuhimu wa mtu huonekana zaidi asipokuwepo..
Yafuatayo ni mambo aliyonikosha J.. P. M (R. I. P).
1. Nidhamu kwenye taasisi za serikali, kuanzia matumizi, utendaji wa kazi na utoaji wa huduma.
2. Msimamo bila kujali nchi nyingine zimeamuaje , kimsingi maamuzi mengi yalifanywa kuzingatia maslahi ya nchi sio mkumbo ( i.e chanjo ya corona).
3. Super-Mega projects zenye maslahi ya muda mrefu , S.G.R, Nyerere, Mwendokasi n.k.
4. Kuwanyoosha majirani zetu walizoea kutuibia na kutuchezea michezo ya ajabu ajabu.
5. Kuleta siasa za kuambiana ukweli na sio za kubembelazana hovyo.
6. Kukomesha ujambazi na matukio ya kihalifu majumbani.
7.
Itaendelea...
PIA SOMA>> TANZIA - Rais John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar
Unamaanisha nini?Kwa hiyo Sasa hivi hayatoroshwi..una uhakika kbs uwezekano wa mtu kuvuka mipaka na germstone ni mgumu Sana?
Usisahau: Endelea kuwa mzalendo ipende tanzania. Usichafue taswira njema ya taifa lako. Ustawi wa nchi yetu unaanza na wewe. Timiza wajibu wako ipasavyo.
Mbona Kagame aliachiwa kutorosha makilo ya kutosha?Unamaanisha nini?
Hayati Magufuli alifanya mengi. Muda wa kumkumbuka haujafika. Hata alipoachia ngazi, wengi hawakumkumbuka Nyerere muda mfupi tu tangiapo.Fikiria miaka ya nyuma kabla hayati JPM hajapata urais. Ilikuwa ni vurugu maana dhahabu kibao ilikuwa inatoroshwa kwenda nje..
Mengi yapi? Kama ya kuiba rambirambi?Hayati Magufuli alifanya mengi. Muda wa kumkumbuka haujafika. Hata alipoachia ngazi, wengi hawakumkumbuka Nyerere muda mfupi tu tangiapo. Ila baada ya waliochukua madaraka kuanza kuonyesha uchafu wao, hadi kesho Nyerere anakumbukwa si na watanzania tu bali hata dunia nzima. Tenda wema uondoke. malipo ni kwa Mungu.
Unajua unajadili nini?Kutoroshwa ni kwa njia ipi?
Kuna mambo mawili ya kuweka sawa;
1. Wanunuzi na wachimbaji walikuwa hawajawekewa utaratibu wa kulipa kodi na tozo mbalimbali.
2. Wanunuzi watoroshaji wameondolewa na sasa kuna wanunuzi wapya.
Lipi ni sawa au sahihi?
Ukiyajibu maswali yangu utajua nini kinachojadiliwa.Unajua unajadili nini?