tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,863
- 19,626
Labda MATAGA,nchi imekua kama soko la Tandika,vibanda vya wamachinga mpka nje ya maduka, kuua, kutishia, kuiba pesa za watu, kuiba kura....ndio kiongozi wa ajabu kuwahi kutokea TanzaniaMjiandae sasa hali yote hiyo inakuja kurudi
Watu watamkumvuka tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Barabara nyingi zimejengwa wakati wa Mkapa na Kikwete! Bado unaendelea tu kumtukuza? Nyinyi ndiyo mlio changia kumvuruga mzee kwa unafiki wenu ulio pitiliza.Ukipata nafasi ya kusafiri,kuzunguka mikoa tofauti tofauti ndio utagundua kuwa taifa limepoteza mtu muhimu sana,maana ni mpaka kule ulikokuwa hutarajii kuona maendeleo kuko vizuri...
Sio kweli nakataaa kata kataBima zilianza kupewa heshima walikua wanafavour watu wa cash ila baada ya Magufuli ukiwa na bima unaringa
Mmi huyo jamaa sijawahi mkubali kwa lolote, Jiwe alikuwa muuajiIngawa sikuwa shabiki wake lakini alifanya mambo mawili muhimu sana SGR na Stiegllers Gorge namsihi kiongozi ajaye akamilishe miradi hii.
Pia uongozi ujao usilegeze kamba Bandarini
Chuo cha VETA Chato1.Chato International Airport
2.Chato National Park
3.Trafic light Chato
4.3 star hotel Chato (TANAPA)
5.Bohari ya kanda madawa Chato
6.Hospital ya rufaa Chato
7.Stadium (proposa)
8.CRDB Chato
Utawala wake uliniathiri kiasi Fulani, ila jambo moja alilokuwa ananifurahisha ni kuwakomesha wahindi kumzoea.Wafanyakazi hewa + Vyeti feki. Ila ninampongeza kwa kuleta nidhamu serikalini na kuwakomesha wauza sembe.
[emoji122][emoji122]Jambo zuri ni miundombinu, Jambo baya kunyima haki za watu...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weuweeeNtamkumbuka kwa kutukumbatia wasukuma na kutujengea chato yetu na usukumani kwa ujumla wake
Wewe unauhakika ilikomeshwa!?Mjiandae sasa hali yote hiyo inakuja kurudi
Watu watamkumvuka tu
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Aliwachukia akina Kimaro, Mosha, Mushi, Moshi, Mbowe, Mboya, Mbuya, Mallya, Tarimo na wenzao kutoka ukanda huo kama ukoma. Angeendelea angepanga holocaust kama ya Hitler kwa mayahudi.Alimwambia Kimaro wa Mbezi stand kama hawezi kulipia choo basi akae na mavi yake nyumbani.