Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Piga moyo konde ukubali matokeo na hakika kazi itaendelea
Tanzania yetu ilivyo ni hivi,umefungua thread watu watasoma wengine watareply na baada ya siku kadhaa haitakua hapa wajanja wengine wataleta zakwao
Alafu mama ataachilia barua za uteuzi mpya watu watajikita huko,baada ya hilo litatokea lingine litawashughulisha watu kwa siku 2 kisha nalo litapita!
Basi itakua hivohivo mpaka tunafika 2025 na Mungu akiweka mkono wake mama anapita tena adi 2030!kwahiyo kama hujakubali matokeo means unajiandaa kuishi na maumivu pengine mpaka 2030!
Bora tu uyaache na badala yake tafuta ela and enjoy life,travel,party and have fun
All the best kamanda!
 
Una mawazo ya kimbwa sana jibu hoja yake acha kuwaza kimbwa mbwa!!
Huwa tunakufa mara moja. Lakini huyo mungu wenu, alitakiwa afe hata mara ishirini. Ingependeza kama angezikwa kama Gadafi, au Osama Bin Laden, yaani isiwepo kabisa kumbukumbu ya alipozikwa!
 
Baada ya kusikiliza hotuba ya ssh akihutubia bunge la seneti na taifa kenya NIKAJIKUTA NAMKUMBUKA HAYAYI MAGUFULI
Hatutapata na hatuhitaji tena raisi kama kayafa,

Namkumbuka Sana kingunge aliesema huyu alistahili kuwa nyapara,

Ameleta maendeleo kwamikopo amekuza deni la taifa huku akiwadanganya wanyonge anayoyafanya ni kwa pesa za ndani,

Ameleta hali ngumu ya maisha akauwa na biashara zetu na aliposikia wanchi wanalalamika alijibu kwa kiburi asiefanya kazi na afe,

Ameua mahusiano na majirani,

Aliendekeza ungoshangosha,ubinafsi na upendeleo wa kanda ya ziwa,alisafirisha Twiga kwenye malori kupeleka nyumbani kwake,


Hatutakubali huyu mama mumchafue ninyi wafuasi wa meko.
 
Ntakujibu baadaye kiasi cadre mtiifu wa ccm!
Nayasubiri mawe ya kutoka kwako kwa hamu sana prof! Naona neno tungejua litapatikana baada ya 2022. Hii ni zamu ya waliomchukia mwendazake wakati alichokuwa anakifanya na maono yake yatajionesha wazi si muda mrefu. Mimi si kada wa CCM ila nafurukutwa na maendeleo ya Tanzania. Wengi wapo CCM kwa ajili ya kujinufaisha si kujenga nchi kama ilivyo kwa Tundu Lissu
 
Watu wengi wenye chuki ambao hawataki wengine pia wafanikiwe kama wao na kundi lingine ndio wale wachimbachumvi ila wamekaririshwa tuu na Mzee baba kumbe hakuna chochote akichofanya zaidi ya kutengeneza chuki ndani na nje...hata mkiwa matajiri harafu ninyi ni adui wa kila mtu sasa huo utajiri ni wa nini sasa si bora muwe wa kawaida wenye furaha kuliko Uchaguzi wa balozi tuu mnatekana mapanga na hakuna kujali mtu yeyote anaita Tv na kufukuzana kazi au kuwekana jela kijinga jinga tuu...
 
DAH MAGU ALIKUWA JIWE KWELIII KWELI SASA HOTUBA YA KINYONGEE TUNAWANYENUEKEEEA
Umesikiliza hicho kuoanda cha JK ambacho mtaalam Ellia Mshana amekuwekea? Huyo alikuwa miongoni mwa wapumbavu wachache waliosemwa na KK!
 
Back
Top Bottom