Camp Lehigh
JF-Expert Member
- Nov 20, 2018
- 335
- 612
Habari naomba nidm pleaseToday i officially miss Magu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari naomba nidm pleaseToday i officially miss Magu.
Mama Samia tunakupenda na tulikupenda, kwa hili sio kabisa wapambe sio watu kabisa, mama weka jina lako la upendo wa nchi yetu Tanzania achana na wapambe wa sukuma gang man.Samahani unamwambia nani?
Nimeipenda
Wewe ni mgeni JF?mbona unajaza thread?Magufuli ameacha legasi ya kutetea masikini na wanyonge. Amefariki hata miezi sita haijaisha masikini na wanyonge wameanza kuonewa. Tunammisi sana.
Jaza tu na wewe mkuu, hakuna aliyekuzuia.Wewe ni mgeni JF?mbona unajaza thread?
Leo ni siku ya kuandamana brother ,Tena barabarani Kama lissu alivyoagiza akitwit kutokea ubeligiji Sasa wewe ndugu yangu unaandamana tu humu jf wakati upo Tz😃
Come on guys twenzetu tukaandamane nyie nyumbu
Kwani umelazimishwa kuchanjwa?