samurai
JF-Expert Member
- Oct 16, 2010
- 11,495
- 24,223
Jeshi la mtu mmoja, mwamba kutoka Chato, Nzilakende, Jiwe, Chuma, Kamanda nk...
Muite vyovyote upendavyo lakini kuna mahala lazima umkubali tu alitufaa...
Naona vikao vya bodi vimeanza tena kwenye mahoteli na mikoa tofauti tofauti, soon vitaanza kwenda kufanyika Dubai...na akina Sepenga waanze kutusumbua tena mijini.... Warsha, Semina zimeanza tena kwenye mahoteli wazee wakusaini posho kama kawa kilingeni..