Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kuna watu ama kwa upofu wa fikra au kwa propaganda tu wamekuwa wakisema wanakumbuka zama za Magufuli kwasabb bei ya vitu ilikuwa chini ukilinganisha na sasa.

Kwangu mimi uhuru ndiyo kila kitu. Huwezi linganisha kukosa Uhuru na shida nyingine yoyote ile.

Hata kama bei itaendelea kupanda mara mia ya ilivyo sasa, kwangu mm JPM atabakia kuwa mtu mbaya sana kuwahi kutokea ktk taifa hili.
 
Kwa nini JPM alisema maneno hayo?
Sisi Watanzania hatukuwa na Rais bali kutokana na ajali ya kisiasa ya mwaka 2015 tulipata Shetani aliyejifanya anajuwa kila kitu.

Bado kuna Watanzania wapumbavu wengi tu ambao wanamsifia na ndiyo hao wanalazimisha hiyo legacy. Legacy haijadiliwi inakuja yenyewe.

Kwa kweli sioni cha kukaa na kumsifia Magufuli ambaye ameturudisha nyuma miaka 20 kiuchumi.

Lakini tumshukuru Mungu analipenda Taifa letu, alipomuona anapata kiburi na kutaka kubadili ukomo wa utawala akamtupilia Jehanam
 
Back
Top Bottom