Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Akujijengea atension ya watu kumsikiliza yeye tu
Yaan siku anahutubia sehemu watu wote hutega masikio kusikiliza ni jipu la aina gani linatumbuliwa
 
Kwa mambo ya ukatili na aibu
16409521842520.jpg
 
Alikuwa na roho mbaya sana juu ya wapinzani wake hasa CHADEMA, aliwatenda vibaya saaana.
 
Ni wazi watanzania huwezi waambia chochote kuhusu kipenzi chao Magufuli na wakakuelewa.

Hii ni love ya kweli inayotoka mioyoni.

Pamoja na walamba asali na vibara wa mabeberu kuungana kufanya makubaliano ya kumshambulia lakini anazidi kupendwa na kuwa baba wa taifa wa kizazi kipya.

IMG_20230203_141430.jpg

IMG_20230203_141518.jpg

IMG_20230203_141820.jpg
 
Imeandikwa, jiwe walilokataa waashi limekuwa jiwe kuu la pembeni. Kila atakayeanguka juu ya jiwe hilo atavunjika vunjika.
Na yeyote litakayemwangukia jiwe hilo, litamsaga saga tikitiki.

Huyo ndiye John Pombe Joseph Magufuli.
Kila atakayemponda, yeye atapondwa mara elfu zaidi.
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Magufuli

The

Reformist Dr, John Mugufuli’s shoes will be quite difficult to fill.


They say hypocrisy is the homage that vice pays to virtue. Translation — even Lucifer will genuflect before Jesus. But don’t mistake the serpent’s ministrations for affection for his antagonist. He’s simply playing possum. That’s why President John Pombe Joseph Magufuli — should revel in the applause, but not believe it. Many who bid him adieu were only too happy to see him depart from this World. That’s because they want to return the Executive to the status quo ante. They didn’t choose him to be president. No — the forces of anti-National resources for people-centered gave him the hallowed office against the wishes of state apparatchiks. But Dr. Mugufuli’s legacy will never die.


Today, I write to memorialise the meaning of President John Pombe Joseph Magufuli Era for our nation. First, let’s not make the mistake of intellectual simpletons. We need to bow to the basic fact that Dr. Magufuli is a rare breed.


But Dr. Magufuli stands out in his humility and self-deprecation. He shuns wealth and fame. In a country where thieves are celebrated, and murderers elevated — Dr. Magufuli is the one public servant who forsook worldly possessions. Mark 8:38 asks: “For what shall it profit a man if he shall gain the whole world and lose his soul?” Methinks the author of the good book must have had Dr. Magufuli in mind.


The simplicity of this Societal and moral giant is the one thing that remains an enigma to me and many. He always roots for the little guy. He abhors hierarchy and disdains flamboyance. He always puts himself last. He’s a rare breed.

Folks should know that Dr. Magufuli didn’t want to become President. He laughed off the idea when it was first suggested to him. He was dead serious. And even after he was convinced to put his name to apply for the job, he almost backed out. That’s because he’s uncomfortable with state power. But I believe he thinks that state power atrophies the hearts of men and women, and turns them into predators. It’s possible that he was afraid he would become an ogre in that office. That’s why he worked so hard to demystify the Executive, and bring the temple of Executive service delivery closer to the common folk. This cultural transformation may be his most important legacy.

Dr. Magufuli lanced the boil in the Government. I know our Senior Public Servants chafe at the use of such language. But they – and we – know the Executive has traditionally been aloof and marked by impropriety and illegality.

It’s that boil that Dr. Magufuli will be remembered for lancing. But as I remarked to him recently, one or two things can happen when you lance a boil – you can either cure or kill the patient. The septic shock can be fatal. The body can also be cleansed and nursed to health. He brought service delivery closer to the people in the remotest reaches of the republic. He revolutionised the way public service works and brought technology and empiricism to tame corruption, incompetence, and laziness.

Finally, I believe there will never be another JPM. Mama Samia has succeeded him, she is bound by the energies that he unleashed. Those who believe that we can go back to the pre-John Pombe Joseph Magufuli Executive are sadly mistaken.


You can’t unring a bell that rings. The concept doesn’t exist in science. The poor soul who has succeeded Dr. Magufuli shouldn’t try to fill his shoes. Those are too large. She needs to cure the patient. Rest in internal peace John Pombe Joseph Magufuli.
 
Kilichotekea 2015, ni kielelezo kuwa bila wiz, na tume za mchongo ccm haiwez kwenda popote. Hili lilimpa hofu sana mwndazke baada ya kupitshwa kimagumash na ndipo akaamua kupambana kuhakiksha anaua kabisa ushindan ndo mpak kufikia kufanya assassination attempts. So ccm ikikubal katiba mpya na tume huru kifo chake kipo karib sana japo kwa sasa inaonkana km upinazani hauna nguvu kivile
 
Kilichotekea 2015, ni kielelezo kuwa bila wiz, na tume za mchongo ccm haiwez kwenda popote. Hili lilimpa hofu sana mwndazke baada ya kupitshwa kimagumash na ndipo akaamua kupambana kuhakiksha anaua kbsa ushindan ndo mpak kufikia kufanya assassination attempts. So ccm ikikubal katiba mpya na tume huru kifo chake kipo karib sana japo kwa sasa inaonkana km upinazani hauna nguvu kivile
100%
 
Ni wazi watanzania huwezi waambia chochote kuhusu kipenzi chao Magufuli na wakakuelewa.

Hii ni love ya kweli inayotoka mioyoni.

Pamoja na walamba asali na vibara wa mabeberu kuungana kufanya makubaliano ya kumshambulia lakini anazidi kupendwa na kuwa baba wa taifa wa kizazi kipya.

View attachment 2504807
View attachment 2504809
View attachment 2504810
Na hawa ndiyo wananchi... wana yao ya moyoni... na wapo wengi kuliko wanasiasa.. Ipo siku watanena kwa vitendo
 
Mwacheni baba wa watu “wrest in peace “ jamani uwiii [emoji35]
 
Back
Top Bottom