Je, utamkumbuka Hayati Magufuli kwa mambo gani?
Kesho ni ijumaa nyingine ya ibada ya njia ya msalaba.

Kama nitafanikiwa kwenda Chachi(manake Nina Safari nje ya mkoa sio confirmed )nitamwombea Toba.

Maana yake hakujua alokua anayatenda🙏ingekuwa kipindi kile nazipiga ulabu kwa wingi ningekesha club😅
Jichanganye ukalewe tena alafu unikute,hicho chama chenu cha upinde wa mvua utakihama ntakavyokupelekea Motto.
 
Huyu mtu mnavyozidi kumtaja na kumwandika humu kila siku walah mnaleta uchonganishi kwa viongoz wa hawamu hii hasa majizi.

WANACHADEMA na Sisi Wazalendo, Mwacheni mzee wetu apumzike kila mkitaja jina lake nahisi anastuka huko aliko mnamchosha.
Watoe zamu za watu kuwa wanakunya kwenye kaburi lake, hii itasaidia kupunguza machungu yaliyotokana na mateso aliyoyasababisha.
 
Pole Agrey husikasirikie watu ulitoa mwenyewe, ila soon mtapata haki yenu anakuja mama wa Marekani kuwatetea wanaupinde wa mvua Relax.
.
JamiiForums-685019018.jpg
 
Huyu mtu mnavyozidi kumtaja na kumwandika humu kila siku walah mnaleta uchonganishi kwa viongoz wa hawamu hii hasa majizi.

WANACHADEMA na Sisi Wazalendo, Mwacheni mzee wetu apumzike kila mkitaja jina lake nahisi anastuka huko aliko mnamchosha.
Nani kakudanganya !!?
 
Kesho dunia inaazimisha miaka miwili ya kifo cha aliyekuwa Rais wa awamu ya 5 nchini Tanzania.

Nimewasili Chato, Mkoani Geita. Kwenda kuweka maua kwenye kaburi la Hayati Magufuli kama njia mojawapo ya kumuenzi yale yote mazuri aliyofanya akiwa hai.

Je, wewe umepanga kufanya jambo gani ili kuazimisha miaka miwili ya kifo cha Magufuli?
Samia yupo Africa Kusini na kila mtu aendelee na shughuli zake kama kawaida hakuna kupoteza muda watanzania.
 
Back
Top Bottom