mubhwe geniesama
Member
- Sep 11, 2024
- 54
- 121
Magu alidhibiti wizi na ufisadi, wale wa njia halali za kupata kipato hawakuwa na shida nae! Hivi mnajua hali ya maisha mtaani? Au wengi wetu ni tuliomjini na hatujishughulishi na ndugu zetu walio pembezenu! Utasikia kila mtu abebe mzigo wake!