Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Mkuu ujanijibu lakini?Nisipompa lakini wakachukua nako pia itakuwa nimempa?
😁😁😁😁kwanza yuko wapi
Baba kakimbia nyumba 🤔🤔🤔Nadhani hata yeye mwenyewe hatojipa kura.
Nimejibu kwa mtindo wa swali kwa swali.
Anzisha mada yako uweke mbadala wa kumpigia!!Weka mbadala sasa, kama hapewi anpewe nani? Au kura iharibike tu?
Nitaaribu kwa makusudiWeka mbadala sasa, kama hapewi anpewe nani? Au kura iharibike tu?
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hali hii ujue anaweza kutuuza akakimbia na kitita..aloooo nitamtafuta popote alipo.Baba kakimbia nyumba 🤔🤔🤔