Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??

Sent using Jamii Forums mobile app

Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
 
When it comes for presidential election, then Tanzania has a different definition for democracy. The term democracy in that regard is defined as " the government of some people by some people for some people".
 
Nimemuuliza swali hilo make wangu ambaye najua ni mpenzi wa ccm, kanijibu THUBUTU! na akafyonya kabisa. Nikamuuliza, lakini wewe sii mtumishi wa umma?
Jibu lake ndio limenifanya mpole, "kwa hiyo? Usitake kunitibua bwana! au unataka nikufanyizie?"

Imebidi niwe mpole maana na Leo kuna kibaridi Fulani hivi. Maswali haya ya wanaJF yanaweza kukukosesha vitu bure!

Mimi mke wangu chadema damu, anasema safari hii ni T2020 JPM, kijijini kwao kwenda ni mkeka tu na maji na umeme umefika sasa. Humuelezi kitu sasa hivi, hivyo hakijaaribika kitu. Wanapisha barabarani wako anaenda huku wangu anaenda huku.
 
Back
Top Bottom