KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Hapana, usikwepe.
Kakujibu vizuri sana, lakini wewe ndie unayetaka kukwepa jibu kiujanjaujanja!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, usikwepe.
Seriously, kwa yeye kuendelea kuongoza nchi baada ya haya yote, Tanzania itakuwa ni nchi ya kipekee sana.Chadema hata wakimsimamisha Mdude kuwa mgombea urais nitampa kura.
Seriously, kwa yeye kuendelea kuongoza nchi baada ya haya yote, Tanzania itakuwa ni nchi ya kipekee sana.
Upekee wake utaanzia kwenye chama chake kitakachoruhusu aendelee kukiongoza na kupewa ridhaa ya kugombea urais.
Upekee wake utatokana na vyama vya upinzani vitakavyoshindwa kushawishi wananchi kutumia njia zote walizo nazo wananchi hao kukataa kuongozwa naye, hata kama atataka kutumia mabavu kuwaongoza.
Upekee wa Tanzania kama nchi utakuwa ni kwa wananchi wake, wapiga kura kukubali aendelee kuwa kiongozi wao; hata kama ikiwa ni kwa kuwalazimisha kwa mabavu awaongoze, na wao wabaki kimya na kukubali aendelee.
Tanzania hii itakuwa nchi ya kipekee sana.
Hata usipompa ataiba tu! Lakini sitampa katu!Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Mag3, usishangae kabla uzi huu haujachacha, au hata ukichacha na kuelekea kwenye 'archive', mpya utaanzishwa ukimwonyesha 'jemadari' wetu kwenye magwanda ya kijeshi.Hapa Kamanda na Jemadari Mkuu yupo juu ya tanki la jeshi, kifaru, uwanja wa vita!
Huyu kwa kura halali hapiti ila atapita kwa kura haramu!Seriously, kwa yeye kuendelea kuongoza nchi baada ya haya yote, Tanzania itakuwa ni nchi ya kipekee sana.
Kadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu wa sasa anavaa zile gwanda za jesh kma urembo tu. Mwalimu yuko vtani na kaunda suti yake.Kwa mbali nakumbuka ile siku nduli Idi Amin alipotushambulia na kuteka sehemu ya Jamhuri yetu huku akitishia kuongeza mashambulizi hadi Bandari yetu ya Salama. Jemadari wetu Mkuu wakati huo, Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere hakutafuta pa kukimbilia kujificha na kututaka tusali, hapana.
Baada ya kutangaza tu kwamba tuko vitani, aliingia kazini kuwahamasisha wananchi na kuliongoza Jeshi la wananchi, JWTZ, kwa kazi moja tu, kumpiga adui. Na kweli nduli alitandikwa. Alipigwa hadi akaikimbia si tu ardhi yetu na mambo yakaishia hapo, hapana, alizidi kutandikwa hadi akaikimbia na nchi yake Uganda.
Naam, hivyo ndivyo ilivyo, Kamanda na Jemadari Mkuu hakimbii uwanja wa vita akawaacha askari wake mikononi mwa wahuni kama Bashite.
View attachment 1425268Tukumbuke tunapomchagua Rais, tunamchagua Kamanda na Jemadari Mkuu ambaye atakuwa mstari wa mbele katika mapambano dhidi ya adui anayeonekana na asiyeonekana na si anayejificha mapambano yakipamba moto...ni hayo tu!
Rais wa awamu ya kwanza wa Tanzania, Mwl. J.K Nyerere na makamanda wa Jeshi.
View attachment 1425269
Hapa Kamanda wa kweli na Jemadari Mkuu, Mwalimu Nyerere, yupo juu ya tanki la jeshi, kifaru, uwanja wa vita!
Nimeshapiga kura yangu Mkuu..Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeshapiga kura yangu Mkuu..
Huyu HATUFAI hata kidogo..
Na kwasababu amekimbia mwenyewe Ikulu..
Asirudi.