Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi namuombea kwa Mungu ili Mungu ampe uwezo wa kujipima wenyewe Kama anatosha au la ili asilazimishe kugombea akiishia kuwafanya police wetu,TISS,na watu wa Time ya uchaguzi wakafanya dhambi ambazo zisizo za lazima
 
Mimi namuombea kwa Mungu ili Mungu ampe uwezo wa kujipima wenyewe Kama anatosha au la ili asilazimishe kugombea akiishia kuwafanya police wetu,TISS,na watu wa Time ya uchaguzi wakafanya dhambi ambazo zisizo za lazima
Hivyo vyombo vingekuwa vinajali mustakabali wa nchi huyu mtu aliyebomoa nchi asingerudi.Tuendelee kumuombea Mangula afya tele
 
Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
Hata kabla ya corona alishaproof failure, ameshindwa kutatua shida zetu mfano ajira, njaa,kilimo, usalama,diplomasia kutwa kucha amewekeza kupambana na watu Mara upinzani Mara mbowe badala ya kupambana na shida za watz.
 
Tanzania ni nchi ambayo watu wanapiga kura lakini serikali inaamua nani ni mshindi sioni tume huru ya uchaguzi hapa.
 
John Pombe Joseph Magufuli---YES
Sijawahi kujutia kumpigia kura mwaka 2015.
Ndimi mtumishi mtarajiwa wa serikali kura yangu 2020 ni kwa Magufuli.
Sababu mfumo wako wa kuishi unategemea uwepo wake.Jifunze maisha mbadala asipokuwepo usife njaa
 
Usikute hata hao wanaokataa, mwisho wa siku ndio wanakuwa wa Kwanza kumpa Kura Magu, halafu tena wanakuwa wa Kwanza kanzisha nyuzi za kuuliza kina Nani huwa wanaipigia Kura CCM?

Chezea wabongo wewe
 
Back
Top Bottom