Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Mtaji mkubwa wa ccm ni wazee nawashangaa wameleta corona ili iangamize wazee

Sasa ngoja wazee waishe na corona tubaki vijana watupu tuwafundishe adabu mwezi October

Sent using Jamii Forums mobile app
Wazee wanapungua ndio mtaji wa chakavu.Uzuri mwaka huu lile zindiko la Moto wa kichawi toka kuzimu linalopumbaza watu akili wakosee kuchagua alijakimbizwa sababu ya corona, hapa zindiko limekiukwa chochote chaweza tokea.
 
Sababu mfumo wako wa kuishi unategemea uwepo wake.Jifunze maisha mbadala asipokuwepo usife njaa
Hahaha hata wewe unayefanya biashara unategemea sheria nzuri na serikali,na serikali iliyopo madarakani ambayo inaongozwa na CCM na yeye ndiyo Rais Magufuli.
 
Hahaha hata wewe unayefanya biashara unategemea sheria nzuri na serikali,na serikali iliyopo madarakani ambayo inaongozwa na CCM na yeye ndiyo Rais Magufuli.
Aah wapi, Sheria za nchi zipo hata kabla yake.Niko independent kutokuwepo kwake hakutoniathiri kuisafisha njia ya chooni isiote nyasi
 
Usituharibie siku we ndugu yetu. Hata Mrs mwenyewe hawezi kumpigia. Kwanza uliwahi kusikia wapi namba one kwenda holiday wakati wa janga kubwa kama hili
 
Huku sio fesibuku mkuu. Ni forum for GTs. Hivyo, huwezi weka hoja kondefu namna iyo. You must narrate in details so that watu wajue your reason behind your conclusion.

Anyways, wacha nikujibu kipumbavu ivoivo, JPM my VOTE!

kushney!
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako??

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo linakuja umpe usimpe atatangazwa
Afadhali atangazwe lakini wewe ukiwa humo kwenye huo uchuro. Unajua mtu ambaye hukumchagua hata akiboronga haikuumi sana ila unabaki kushangaa akili za waliompa
 
Huku sio fesibuku mkuu. Ni forum for GTs. Hivyo, huwezi weka hoja kondefu namna iyo. You must narrate in details so that watu wajue your reason behind your conclusion.

Anyways, wacha nikujibu kipumbavu ivoivo, JPM my VOTE!

kushney!

Sent using Jamii Forums mobile app
As you have said, this is indeed a '"foolish" answer from a "foolish" voter
 
Watu washaiona rangi halisi ya kikombe Kama watakosea tena wakakinywea Hali itakuwa ngumu kuliko covid,
 
Kadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Sasa hebu fikiri kama pamoja na kujifungia ndani hali ni ngumu, ina maana kama wasingejifungia wangeshateketea wote. Dawa kubwa ya Corona ni kuzuia kusambaa kwake na njia mojawapo ya kuzuia kusambaa ni ya karantini. Mwenzetu na huyo rafiki yako mnasubiri miujiza gani ya kuzuia kusambaa kwa hivi virusi?
 
Kuna usemi fulani wa wahenga, unasema akumulikaye mchana usiku akuchoma. Tulishaona dalili za kutukaanga peupe kabisa kabla ya hii balaa, ilipofika sasa tunachomwa live na tuliyemwamini 25/10/2015
 
Aah wapi, Sheria za nchi zipo hata kabla yake.Niko independent kutokuwepo kwake hakutoniathiri kuisafisha njia ya chooni isiote nyasi
Tatizo watu wa Ufipa huwa mnajifanya mna maendeleo mkiombwa msaada hata mia hamtoi
 
Arud kwanza dar tuish nayo corona ndio tujue tupo pamoja, HELL NAW kwenye kwene kumpa kura, raisi gani mwoga hivyo na anajifanya jiwee kweri kweri kama anavyosemaga yeye 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 eti kweri kweri 🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Akina Polex2 na Bashiru wamekuja na usemi kwamba eti swala siyo kura bali kutangazwa. Eti wao hawana uhakika na kupata kura za kutosha ila wana uhakika wa 100% wa kutangazwa washindi kwa ngazi zote za udiwani, ubunge na u-ikulu.
 
Hivyo vyombo vingekuwa vinajali mustakabali wa nchi huyu mtu aliyebomoa nchi asingerudi.Tuendelee kumuombea Mangula afya tele
Mkuu wafanyakazi wa hivyo vyombo ni watanzania pia sasa whether wanakiona hiki ambacho Mimi na wewe tunaona au wamepigwa upovu na mishahara na marupurupu ya muda mfupi Mungu ndo anajua,Ila tuendelee kuwaombea,Kama Mungu anaweza simamisha corona dhidi ya Tanzania anashindwaje kwa mtu anaiharibu Tanzania?
 
Back
Top Bottom