Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Utampaje kura mtu anayewaacha wananchi wake wakat wa majanga, rejea kauli zake nyungi kipindi cha majanga mfano kipindi kile cha mafuriko, tetemeko la ardhi " Kwan Mm ndio nimeyaleta hayo majanga" issue za bomoa bomoa,korosho nk.
Kivuko cha kigamboni kipindi ni waziri wa ujenz " pigeni mbizi mvuke bahari kama hamna nauli za kivuko"
Leo tuna corona anatutaka tukusanyike tusali ili kutokomeza ugonjwa huku yeye kajifungia ndani, hii inaonyesha wazi hatutakii mema wananchi wake hasa sisi maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app