Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Wote wenye busara watakipa chama kinachofanana na sera za ukombozi, uzalendo, ukweli,uthabiti wa kauli, kinachomuenzi Baba wa taifa kwa matendo yao si kauli zao. Kinachosimamia azimio la arusha hata kama ni kwa sura tofauti. Magufuli si miongoni mwa wanachama wa chama hicho
 
big no lakini najua wataiba #@$()/"$@'
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Unauliza swali wakati wewe hautakuwepo kushuhudia jibu!
 
Lazima nitampa kura yangu. Aliyoyafanya ni mengi kwa manufaa ya Watanzania wote.
 
kwa roho zenu mbaya asipate yangu na wote watanzania tuone
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?

Tangu nianze kupiga kura hakuna rais niliyempigia kura kwa hamasa kama Magufuli. sio tu nilikuwa wa kwanza kupiga kura bali nilifanya kazi ya ziada kuhakikisha kila kaya imeenda kumpigia kura. hata mke wangu na watoto nilihakikisha wanaenda kumpigia kura. upenzi wangu kwake ulijengekea wakati akiwa waziri wa ujenzi. Lakini daah. sisemi.
 
Kuirudisha ccm madarakani ni sawa na kuwatoa likizo wasiojulikana
 
Sasa tumpe nani mbona ujasema. Au tumpe ntetezi wa mashoga maana ndiye aliyebaki kwa sasa kutoka ktk chama kikuu cha upinzani maana nchi ikuwa na Rais mlabata wananchi wote ni bata mwanzo mwisho, na kama Rais anapenda kazi basi nchi nzima itakuwa hapa kazi tu na kama Rais akiwa mtetezi wa mashoga yaani choko wanaume wote watakuwa .. malizia.
Tuwe makini sana Magu bado bado sana, ntampa tutampa na atashinda kisa cha kutupoteza huku tunaona.
 
Usikute tunazungumzia marehemu........mbona hatumuoni tangu tukio la kahawa la 28/03/2020?
 
Baada ya corona kutokomea kila atakaebakia atakua na maumivu ya kuondokewa na mpendwa/wapendwa wake.Uzembe na ukaidi ni wa nani?

Hapo ndio utapoona umuhim wa kura yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Lazima apate kura yangu na ukoo wangu wote!
 
Kwanza namshukuru Mungu kwa kutupa Rais aliye mzalendio kweli kweli! NITAMPA KURA yangu na muda ukifika nitampigia kampeni apate kura Zooote za wazalendo wenzake ambazo ni NYINGI sana. Najua wapiga dili hawatampa lakini wako WACHACHE!!
 
Back
Top Bottom