Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Mtu mcha Mungu kama yeye bila shaka atausikia na kuuona ushauri wako maridhawa!

Unategemea muujiza nyakati hizi utokee mkuu 'Sijjijui'!

Yeye atakwambia Mungu kamsukumiza akawatawale waTanzania watake wasitake ili awaletee maendeleo barabara, reli, ndege na mavitu chungu nzima..., akishasema haya, kampeni imekwisha.
Mungu atusaidie watanzania ili tujue kuwa bila maisha na uhai.,mandege,maflyover,mabarabara na madaraja hayana maana.then wafanye uchaguzi sahihi na wawe na ujasri wa kutetea maamuzi yao.Huyu Mungu wanayemuomba aiepushe Tanzania na corona ni huyo huyo atayewakinga na ghathabu za huyu mtu anayeharibu maisha yetu na nchi yetu
 
Yaani
 

Attachments

  • IMG_20200421_214302.jpg
    IMG_20200421_214302.jpg
    56.5 KB · Views: 2
Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
YES! YES! YES! YES! YES! YES! YES!
 
Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
Tusisingizie corona......huyu mhutu alishasindwa miaka mitano imekua ya kuharibu nchi......
Nilijua miccm itaanza tu kusingizia Corona hapana....iwekwe pembeni....
Huyu ni kiongozi muoga sn anawaogopa wapinzani lkn hii ya sasa ndio imevunja rekodi ya dunia ....kakimbia na kujichimbia chato huku alisema watz wachape kazi ni km mfalme juha
 
Huyo atashinda tu hata usipompigia.
Mimi binafsi hata kura sipigi. Siwezi nikaenda kuungua jua bure bure kwenye foleni kwa ajili ya maslahi ya wengine.
 
Back
Top Bottom