Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
- Thread starter
- #201
[emoji23][emoji23][emoji23]Lazima apate kura yangu na ukoo wangu wote!
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Lazima apate kura yangu na ukoo wangu wote!
Uchuro wako utakurudia mwenyewe!!Mtaji mkubwa wa ccm ni wazee nawashangaa wameleta corona ili iagamize wazee
Sasa ngoja wazee waishe na corona tubaki vijana watupu tuwafundishe adabu mwezi October
Sent using Jamii Forums mobile app
swaliTatizo linakuja umpe usimpe atatangazwa
Kadi ya mke wangu ikae vizurikwani hakika nitaiiba ili nikampe kura mbili za uhakika. Uliza yanayotokea nchi jirani waliojifanya kujifungia ndani
Nimegonga Like tuHabari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.
Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!
Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Mama yako akitekwa usiku huu kura yako isibadilike tafadhali.Kwanza namshukuru Mungu kwa kutupa Rais aliye mzalendio kweli kweli! NITAMPA KURA yangu na muda ukifika nitampigia kampeni apate kura Zooote za wazalendo wenzake ambazo ni NYINGI sana. Najua wapiga dili hawatampa lakini wako WACHACHE!!
Mtu mcha Mungu kama yeye bila shaka atausikia na kuuona ushauri wako maridhawa!Mimi namuombea kwa Mungu ili Mungu ampe uwezo wa kujipima wenyewe Kama anatosha au la ili asilazimishe kugombea akiishia kuwafanya police wetu,TISS,na watu wa Time ya uchaguzi wakafanya dhambi ambazo zisizo za lazima
Pole sana.Tangu nianze kupiga kura hakuna rais niliyempigia kura kwa hamasa kama Magufuli. sio tu nilikuwa wa kwanza kupiga kura bali nilifanya kazi ya ziada kuhakikisha kila kaya imeenda kumpigia kura. hata mke wangu na watoto nilihakikisha wanaenda kumpigia kura. upenzi wangu kwake ulijengekea wakati akiwa waziri wa ujenzi. Lakini daah. sisemi.
Inauma mno naamini hata mama yake anaumiaMtu mcha Mungu kama yeye bila shaka atausikia na kuuona ushauri wako maridhawa!
Unategemea muujiza nyakati hizi utokee mkuu 'Sijjijui'!
Yeye atakwambia Mungu kamsukumiza akawatawale waTanzania watake wasitake ili awaletee maendeleo barabara, reli, ndege na mavitu chungu nzima..., akishasema haya, kampeni imekwisha.
Hao walioshindwa ninkwamba at least wameonesha juhudi ,Yaani Janga la Dunia la CORONA ambalo limewashinda hata Marais wanaosifika Duniani ndiyo leo hii lifanye Rais Dkt. Magufuli hafai? Sasa naanza Kuamini kuwa Great Thinkers wameshapungua nchini Tanzania.
Arud kwanza dar tuish nayo corona ndio tujue tupo pamoja, HELL NAW kwenye kwene kumpa kura, raisi gani mwoga hivyo na anajifanya jiwee kweri kweri kama anavyosemaga yeye [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti kweri kweri [emoji1787][emoji1787]
Sent from my iPhone using JamiiForums