Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Uchaguzi 2020 Je, utampa Magufuli kura yako uchaguzi ujao?

Habari za mda huu.
Corona ni hatari kufata taratibu zilizoweka na wizara ya afya kujilinda na kuwalinda tuwapendao.

Niende kwenye mada chap chap.
Kumpa kura yangu ni Big No!

Vipi wewe ndugu yangu utampa kura yako?
Mnapanda mlima Kilimanajro kwa kutambaa. Vichaa hawaishi duniani
 
Corona imekuja kuchukua watu wake watakaobakia watabaki na watakaondoka wataondoka ikishamaliza kazi yake itaondoka.Huna haja ya kuogopa kifo ambacho kipo tu hata usipokiogopa
Kama hivyo hiyo tahadhari unachukua ya nini sasa?au na wewe unaogopa kifo?
 
...Sheikh ya moyoni tuache moyoni mpaka wakati muafaka unapima upope umekaaje kuelekea uchaguzi ngoja tumalize kujisajili kwny daftari kwanza maana napata wasiwasi na ka mfumo kapya ka electronic registering magics are real
 
Mkuu eti Uganda mpaka sasa wagonjwa ni wangapi?
Kenya Wana 270 na wamepima watu 15000 Kesho Ummy akikohowa tu tumewapiga gap,Vifo visitangazwe please maana itakuwa aibu kwa kiongozi wa malaika mtarajiwa na inaweza ikamfanya mungu akagairi kumteua kwenye hicho cheo
 
Hata muda Wa kufikriria chochote kumhusu sina itakua kura!!!?
😂😂😂😂😂😂😂
 
utampaje mtu ambaye haonekani uwanja wa mapambano?
 
Halafu utashangaa na lenyewe linatanguliza maninihii kwenda kuchukua fomu! Majitu hayaona mishipa ya aibu aisee!
 
Mimi hata polling station sitaonekana wote wachumia tumbo tu.
 
Kujibu swali lako mpaka nijue atakao shirikiana kugombea nao kwenye uchaguzi mkuu.
 
Back
Top Bottom