Je, utumiaji wa kiyoyozi(AC) unaongeza matumizi ya mafuta kwenye gari?

Je, utumiaji wa kiyoyozi(AC) unaongeza matumizi ya mafuta kwenye gari?

Mimi hua sishushi vioo hata kidogo....inakera pale unapompa mtu lift halafu ile kupanda tu anaanza na kupunguza au kuongeza sauti ya redio,akimaliza hapo anabonyeza button ya vioo sasa kwa vile ume-lock button utasikia "bro shusha vioo basi tupate fresh air".

Sent from my iPhone using JamiiForums

Hahahahaha😀😀😀😀
 
RRONDO;
umewahi kukaa kwenye foleni??? Kama upo Highway sawa, pandisha vioo, weka AC. Hapo sawa sawia kabisa, lakini kwenye foleni, mafuta ya lita 2 uweke AC?

Ni kweli kabisa langu cylinder 6 ukikaa kwenye foleni ya Mbagala mjini basi viwese vyote vinakwisha hapo.

Hivi sasa AC ina matatizo sifungui basi nina afueni kubwa ya mafuta.
 
Ni kweli kabisa langu cylinder 6 ukikaa kwenye foleni ya Mbagala mjini basi viwese vyote vinakwisha hapo.

Hivi sasa AC ina matatizo sifungui basi nina afueni kubwa ya mafuta.

ukikaa kwenye foleni as long as engine iko on inakula mafuta.....hapa unajipa moyo tu
 
Kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa wakiamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC[vioo wazi].

Kiufundi ili AC ifanye kazi inahitaji nguvu ya ziada kutoka kwenye engine ili compressor izunguke,sitaingia kiundani kwasababu mimi sio mtaalam wa AC. Na kwa kuzingatia hili watu wengi wanaamini ukitumia AC unatumia mafuta mengi kuliko ukiendesha bila AC.

Hili si kweli. Ukitumia AC gari inatumia nguvu zaidi LAKINI ukiacha vioo wazi gari inatumia nguvu zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Vioo vikiwa wazi gari inatengeneza kitu kinaitwa 'DRAG' yaani upepo unajaa ndani ya gari na kuifanya iwe nzito kwahio inatumia nguvu nyingi kutembea kuliko ukifunga vioo na kutumia AC.

Kwenye speed ya 80kph ukifungua vioo unatumia mafuta 20% zaidi ya ukifunga vioo na kuwasha AC. Kwa maelezo haya nahitimisha kuwa UKITUMIA AC GARI INATUMIA MAFUTA KIDOGO KULIKO USIPITUMIA AC NA KUACHA VIOO WAZI.

CC: OLESAIDIMU MANI Kaizer Kalamzuvendi Titans

Kwa hypothesis yako Mabasi yote wangekuwa wanatumia AC ili kubana mafuta.
Ila kama unaenda safari ndefu kwa uzoefu wangu ukiwasha AC mafuta hutumika sana kuliko kufungua vioo hata hiyo dragforce unayosemea ukiwa katika spidi kubwa hutaweza kufungua vioo hadi mwisho
 
Last edited by a moderator:
Kwa hypothesis yako Mabasi yote wangekuwa wanatumia AC ili kubana mafuta.
Ila kama unaenda safari ndefu kwa uzoefu wangu ukiwasha AC mafuta hutumika sana kuliko kufungua vioo hata hiyo dragforce unayosemea ukiwa katika spidi kubwa hutaweza kufungua vioo hadi mwisho

1.wenye mabasi hawana elimu hata ya kuendesha yale magari so elimu huu ni way too much for them
2.you are completely wrong. ukisafiri na ukienda 80kph na vioo wazi unatumia 20% more fuel kuliko ukiwasha ac na ufunge vioo.

http://auto.howstuffworks.com/fuel-efficiency/hybrid-technology/driving-with-windows-down1.htm
 
ukikaa kwenye foleni as long as engine iko on inakula mafuta.....hapa unajipa moyo tu

Siyo kujipa moyo lakini hiyo ni uhakika maana wakati AC ilipokuwa inanguruma ilikuwa inakula kama lita 50 diesel kwa wiki, lakini sasa bila AC zinabaki na kuendelea mpaka wiki ya pili.

Na dereva ni mimi tu kwa hivyo kufanya monitoring ni rahisi.
 
Ni kweli kabisa langu cylinder 6 ukikaa kwenye foleni ya Mbagala mjini basi viwese vyote vinakwisha hapo.

Hivi sasa AC ina matatizo sifungui basi nina afueni kubwa ya mafuta.

Tena foleni ya kimara unapata mimba isiyo na MZAZI

ujafika oilcom unasikia kama mtu Analisukuma kumbe mafuta yamekata
 
Mkuu asante kwa taarifa yako japo na mimi nilishaisoma miaka 4 iliopita kwenye link hiyo hiyo uliotupa. Humu kuna watu wabishi wanaamini walichozoea na stori za mitaani kua AC inakula sana mafuta.
Japo wameshauri kwenye hiyo makala kua kama unaendesha kwenye jam kubwa gari inapokwenda kwa mwendo mdogo sana ni bora ukashusha vioo na kuzima AC kama unataka kusevu mafuta .
 
Mimi hua sishushi vioo hata kidogo....inakera pale unapompa mtu lift halafu ile kupanda tu anaanza na kupunguza au kuongeza sauti ya redio,akimaliza hapo anabonyeza button ya vioo sasa kwa vile ume-lock button utasikia "bro shusha vioo basi tupate fresh air".

Umenena mkuu, watu wengine si wastaarabu kabisa anapewa lift na masharti juu.
 
Mkuu asante kwa taarifa yako japo na mimi nilishaisoma miaka 4 iliopita kwenye link hiyo hiyo uliotupa. Humu kuna watu wabishi wanaamini walichozoea na stori za mitaani kua AC inakula sana mafuta.
Japo wameshauri kwenye hiyo makala kua kama unaendesha kwenye jam kubwa gari inapokwenda kwa mwendo mdogo sana ni bora ukashusha vioo na kuzima AC kama unataka kusevu mafuta .

imebidi niweke hio link kwasababu kuna wenzetu bado wanaamini AC inatumia mafuta sana kuliko wakishusha vioo na kuendesha.
 
Siyo kujipa moyo lakini hiyo ni uhakika maana wakati AC ilipokuwa inanguruma ilikuwa inakula kama lita 50 diesel kwa wiki, lakini sasa bila AC zinabaki na kuendelea mpaka wiki ya pili.

Na dereva ni mimi tu kwa hivyo kufanya monitoring ni rahisi.

kiukweli gari ikiwa imesimama au inatembea taratibu kwenye foleni,AC itatumia extra fuel kwa sababu ukiwasha AC rpm inakuwa 800-1000 na ikiwa idle rpm inakuwa 500-600,na sio muda wote,inapanda na kushuka kwahio ni kiasi kidogo sana kinaongezeka.

lakini ukiwa unaendesha freely ukifungua vioo unatumia mafuta mengi kuliko ukiwasha AC na kufunga vioo kwa sababu ya 'DRAG' tena ukiwa highway at 80kph unatumia 20% more!!.....kwahio kama uko kwenye foleni mbaya zima gari kabisa,zima ac fungua vioo kwasababu hata ukizima ac gari inaunguruma itatumia mafuta bila kusogea.
 
hiyo theory yako ni kweli but haiku take into consideration scenario za magari ya africa kama mafuta ya tanzania tunayotumia ambyo yamechakachuliwa na fake plugs za gari.mfano i own a vw golf gti,ilivokuja trip computer readings ilikua inasoma 1 litre kwa 13km ila after a while baada ya mafuta ya kibongo kutumika now inasona 1 litre kwa 10kms na nkizima ac inapanda mpaka 1:11kms...hata turbo boost husoma 1.0 psi which is inadequate.
 
Back
Top Bottom